Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja πŸ˜€πŸ˜€
Hoteli ipi ambayo haijapata mwekezajiπŸ˜€πŸ˜€

 
Kw
Chuo kipo wilaya ya Kwimba hakipo Mwanza JijiπŸ˜€πŸ˜€ thread hii ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji eneo la Jiji sio Mkoa.Kuhamisha hamisha magoli ni dalili dhahiri ya kushindwa hoja kubali matokeo tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba ishu mnaleta humu zote ziko ndani ya dodoma Jiji?
 
Kweli hichi kijiji cha wavuvi, nyumba zimekaa bila mupangilio yani panaonekana kama dampo vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio mwanza ya kuifananisha na Arusha!?
Ebu ngoja kwanza ni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] sasa pawe dampo mara ngapi wakati CBD yao inaitwa dampo na kweli dampo.
 
UHivyo vijinyumba vimepangana kama maboksi yaliyotupwa dampo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli watu wa shamba city wanajidhalilisha Sana ..apo ndio wanaona jiji limekuwa kumbe slams za kushato pako kama dampo vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo tu kwamba hayana mpangilio bali hayo magodauni ya pamba hayana hata mvuto achilia mbali ka-cbd kafinyu afu kamezungukwa na uswazi wa mabati katikati ya mji, milimani kushoto na kulia upenyo ni vijinjia vyembamba kama uzi vya kuponyokea jehanamu kuelekea ziwani.
 
Unajua hawa jamaa wanajitowa ufahamu kabisa. Tatizo ushamba umewajaa adi machoni pao wao kila kitu ni kusifiya tu. Ndio maana wasukuma wengi ni mtaji mkubwa kwa wanasiasa wa nchi hii.
 
Mkuu sijadharau iyo maeneo ila unachagua kasehemu kazuri kazuri ndio unapapiga picha πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ukweli unaujua wewe mwenyewe iyo siyo mipangilio inayofaa. Mipango miji wa mwanza Wana feli Sana.
Yani kumekaa kama uswazi vile kumbe ndio mjini penyewe apo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kw
Kwamba ishu mnaleta humu zote ziko ndani ya dodoma Jiji?
Elewa thread inasemaje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tunashindanisha Dodoma CBD vs Mwanza CBD sio Mkoa wa Dodoma vs Mkoa wa Mwanza.Kubaliana na matokeo tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa wanajitoa ufahamu tu hawataki kukubali matokeo.....hivi kuna Jiji apa East Africa lililopimwa na kupangiliwa miundombinu+ master plan kama Dodoma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jamaa wanajitoa ufahamu tu hawataki kukubali matokeo.....hivi kuna Jiji apa East Africa lililopimwa na kupangiliwa miundombinu+ master plan kama Dodoma [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa mipango ipi labda iliyopo hapo ....ikiwa tu barabara za mtaani ni shiida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]barabara ipi ya mtaani ambayo haijapangiliwa ebu tutajie alafu tulinganishe na vichochoro vya Mwanza Jiji
Ukitaka kufika mbwanga ,unaenda Kwa barabara Gani,,,, nkuhungu Chama, kwenda mwatano kule ni mavumbi tu ,,,ihumwa kuelekea mradi wa SGR ,ni matope na mavumbi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dodoma ni pazuri sana, tena kuliko Arusha [emoji38][emoji38]
Lakini itachukua miaka 10 kwa Dodoma kufikia level za Mwanza
 
Unajua kiutawala jiji la Mwanza ni Nyamagana Pekee, ila kieneo jiji la mwanza ni nyamagana na Ilemela. Takwimu za serikali mara nyingi huwa zinahusu halmashauri na hapa ndio hutenganisha Nyamagana na Ilemela kama halmashauri mbili tofauti.

Ila ukiunganisha Ilemela na Nyamagana sidhani kama dom itatoboa kwa barabara za lami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…