ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Old picView attachment 2561022
Dodoma mnayotupigia kelele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Old picView attachment 2561022
Dodoma mnayotupigia kelele
Hiyo hotel ya lini mpaka useme old pic, kwamba sisi hatuijui dodoma?Old pic
Tumshukuru kivipi, watu wa Dodoma ndio wamshukuruDodoma inagongwa na Iringa pamoja na Moshi mshukruni mwenda zake aliipa status za Jiji. Vinginevyo dodoma ni manispaa tu.
Ile ni manispaa Haina hadhi ya Jiji.Tumshukuru kivipi, watu wa Dodoma ndio wamshukuru
Dodoma bado ni jiji la ovyo na lina safari ndefu, ni pazuri kuliko Arusha ila huwezi kulinganisha na Mwanza aisee, ni kama kulinganisha mbingu na ardhi [emoji38][emoji38]
View attachment 2561022
Dodoma mnayotupigia kelele
Kasema nani au una-imagine Dodoma ni ilemela ebu acha ndoto za mchanaI
Ile ni manispaa Haina hadhi ya Jiji.
Hivi jamani ukiacha hiyo barabara iliyojipenyeza katikati ya jangle la slums kama nyoka huku pembezoni vinjia vyote ni kama tunjia twapanya na mavumbi kushoto na kulia hivi hili ni jiji au vibandani united?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 2561014Unabana ,leta picha nzima kama hii.
Mnaombea iwe hivyo hili tulingane kisa kile cha kwenu terminal imewashinda kumalizia na kwa bahati mbaya Dodoma project zake huwa hazipoi mtasubiri sana.Uwanja wa ndege dodoma ni white elephant project.
Liko wapi leta ushahidi au hata render tuone hatutaki pang'ang'a.Lipo mkuu
Acha kudanganya watu mkuu, vitu vingine kama hujui uwe unauliza kuanzia lini watu ambao hata vyoo proper hawana wanajisaidia ziwani wajengewe flyover au interchange? Hizo ni sifa za majiji makuu mawili yaani moja Capital lingine Business namaanisha Dar na Dodoma tu siyo huko kwenye zizi la igogo.Ndio inaanzia Mkuyun nadhan mpaka hapo ilipo station ya sasa, kwa Mwanza kifusi wasingeweza kuweka maana mji tayar umekua kifusi kina kata mawasiliano ya upande huu na ule wa pili
Acha kudanganya watu mkuu, vitu vingine kama hujui uwe unauliza kuanzia lini watu ambao hata vyoo proper hawana wanajisaidia ziwani wajengewe flyover au interchange? Hizo ni sifa za majiji makuu mawili yaani moja Capital lingine Business namaanisha Dar na Dodoma tu siyo huko kwenye zizi la igogo.
Usikariri maana kipindi inajengwa Mirembe magonjwa ya akili yalikuwa rare na hayakuwa yamekithiri sana hivyo kama serikali na ukizingatia nchi masikini hizi hazina uwezo wa kuwa na huduma maalumu za namna hii kila mahali isipokuwa lazima wacentralize sehemu moja ambapo ni katikati ya nchi ili mikoa yote nchini na watu wake waweze kunufaika na huduma hiyo ikiwemo Mwanza.I know everything about it. Kwanini iwe dodoma???. Just imaging kibong'oto ni hospitali ya Taifa ya magonjwa yanayoambukizwa kwanini ilijengwa SIHA?. sababu ni kwamba watu wengi sana mererani walikuwa wanagundulika kuwa na kifua kikuu na wengine walikufa sana kwasababu ya SILICOSIS, hivyo ililazimika kujengwa eneo Hilo karibu na wateja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hili si ndiyo lile eneo lililoibua mzozo mkali kati ya mkuu wa mkoa na mkurugenzi wake wakati wa uuzaji?Inamaana katoa vibanda vyote vile
Karibu, nangojea tukio hilo kwa hamu na ghamu.Kesho nitaleta ushahidi wa picha hapa jukwaan mkuu