Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

aa2d5391dd1dce7f38a3487879703ed2.jpg

Hata vijiji vyetu Kuna vibe la kuishi, greenish kila mahali.
 
Dodoma inagongwa na Iringa pamoja na Moshi mshukruni mwenda zake aliipa status za Jiji. Vinginevyo dodoma ni manispaa tu.
Tumshukuru kivipi, watu wa Dodoma ndio wamshukuru
Dodoma bado ni jiji la ovyo na lina safari ndefu, ni pazuri kuliko Arusha ila huwezi kulinganisha na Mwanza aisee, ni kama kulinganisha mbingu na ardhi [emoji38][emoji38]
 

Oya hamuwezi shindana na mwanza nyie.
 
View attachment 2561022
Dodoma mnayotupigia kelele

Vipi lakini umeushuhudia huo mkeka hapo mjini ulivyotambaa?
Nimejaribu ku-zoom hadi kwa tochi ila nikabaini Dodoma ni levels baby, imagine hapo ni pembeni kidogo ya CBD siyo kile kijiji cha Mwanza ambacho Magufuli halijaribu kuwafichia aibu ndogo ndogo za kuwa na vumbi mpaka CBD akaamua kuwatandikia mikeka pale dampo na bado huko chocho ndani ya CBD ni mavumbi na uozo.
 
Uwanja wa ndege dodoma ni white elephant project.
Mnaombea iwe hivyo hili tulingane kisa kile cha kwenu terminal imewashinda kumalizia na kwa bahati mbaya Dodoma project zake huwa hazipoi mtasubiri sana.
 
Ndio inaanzia Mkuyun nadhan mpaka hapo ilipo station ya sasa, kwa Mwanza kifusi wasingeweza kuweka maana mji tayar umekua kifusi kina kata mawasiliano ya upande huu na ule wa pili
Acha kudanganya watu mkuu, vitu vingine kama hujui uwe unauliza kuanzia lini watu ambao hata vyoo proper hawana wanajisaidia ziwani wajengewe flyover au interchange? Hizo ni sifa za majiji makuu mawili yaani moja Capital lingine Business namaanisha Dar na Dodoma tu siyo huko kwenye zizi la igogo.
 
Acha kudanganya watu mkuu, vitu vingine kama hujui uwe unauliza kuanzia lini watu ambao hata vyoo proper hawana wanajisaidia ziwani wajengewe flyover au interchange? Hizo ni sifa za majiji makuu mawili yaani moja Capital lingine Business namaanisha Dar na Dodoma tu siyo huko kwenye zizi la igogo.

Kesho nitaleta ushahidi wa picha hapa jukwaan mkuu
 
I know everything about it. Kwanini iwe dodoma???. Just imaging kibong'oto ni hospitali ya Taifa ya magonjwa yanayoambukizwa kwanini ilijengwa SIHA?. sababu ni kwamba watu wengi sana mererani walikuwa wanagundulika kuwa na kifua kikuu na wengine walikufa sana kwasababu ya SILICOSIS, hivyo ililazimika kujengwa eneo Hilo karibu na wateja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Usikariri maana kipindi inajengwa Mirembe magonjwa ya akili yalikuwa rare na hayakuwa yamekithiri sana hivyo kama serikali na ukizingatia nchi masikini hizi hazina uwezo wa kuwa na huduma maalumu za namna hii kila mahali isipokuwa lazima wacentralize sehemu moja ambapo ni katikati ya nchi ili mikoa yote nchini na watu wake waweze kunufaika na huduma hiyo ikiwemo Mwanza.
 
Back
Top Bottom