Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wadanganye ambao hawajawahi kufika mwanza ndo wataamini huu urojo wako .. unaposema mwanza yenye milima .ni just 30 percent ya jiji ..Tena kama ulifika mwanza ukakomea mabatini na igogo pole sna...tembea Tena .hizi kata huji kuona milima .
nyamhongolo, nyakato, buswelu,mecco, nyasaka, kiseke, mhandu,igoma,bugogwa, sangabuye, kahama,
Kata hizi Zina milima ila makazi yake mengi yako bondeni
Buhongwa, mkolani, nyegezi, kishiri,mahina, ilemela, kiloleli, buzuruga, kirumba. pasiansi na luchelele
Mwanza unayoizungumzia sijui imejengwa milimani .. hiyo ni igogo, mabatini,mbugani, Kitangiri, nyamanoro, butimba na kata ya mkuyuni....
By vyovyote vile huwezi ilinganisha dodoma na mwanza Kwa ukubwa Wala ubora ... dodoma ndio linear Kaangalie Nala ,mkonze,kisasa, nzuguni,makulu , msalato.kama unaweza tembea km 1 kuelekea ndani kama hujakutana na machaka .[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ni nyakato na nyasaka tu , ukiniletea maeneo mawili ya dodoma yenye mass settlement kama haya nitagg .picha ya ukubwa huu dodoma inachukua jiji Zima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakato [emoji116]is equal to dodoma yote. . nionyeshe milima hapa mbeya mkubwa wew [emoji12][emoji12]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kusogeza angle vizuri unionyeshe milima hapa nyakato na buzuruga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza ijikongoje kivipi kwa mfano. Hapo ilipo si kwa nguvu za serikali. Jiji linakuwa kwa nguvu za raia wewe hata dodoma kuitwa Jiji ni ubabe wa mwenda zake na bila miradi ya kiserikali dodoma ni idodomya tu. Kama utakuja kutokea siku dodoma imeizidi mwanza nitafunga akaunti yangu jf. Kila mnacholeta humu ni government projects sasa nyinyi mnamchango Gani kwa Jiji lenu.
 
Acha uongo, unaijua Arusha kweli...?!
 
Kipi ambacho sio Cha Serikali hapo Mwanza? Majengo yote mazuri mnayojivunia ni ya Serikali 😁😁
 
Mitaa Iko wapi? 😁😁
 
Future ya Dom is brighter

Hii recreational park ni bab kubwa aisee, Dodoma is unstoppable. Tunapotenga maeneo kwa ajili ya kuja kujenga project nzuri kama hizi wale wanaoishi katika dunia yao ya vibanda mfululu utubeza kwa kuita machaka pori lakini hawajui kuwa kila sehemu Dodoma imepimwa kimkakati na imetengwa kwa sababu maalumu, ukiona eneo halina makazi na liko ndani ya mji we subiria suprise Dodoma haijawahi kudissapoint.
 
Aisee hii ndo maana ya mitaa ya kishua inavyojengwa siyo ile mikkde anayotupostia hapa vibanda mfululizo vimetapakaa kila mahali mabondeni na milimani bila hata ya mpangilio wala hadhi, Dodoma kila picha ukosi cranes na majengo makali mji huko bize na constructions muda wote, kuashiria kwamba ndiyo kwanza tumeanza huku Mwanza ishalowa tiyari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…