Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwani haya majiji yalianza lini kushindana? Kawaulize wahusika dogoNajua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani haya majiji yalianza lini kushindana? Kawaulize wahusika dogoNajua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala
Wadanganye ambao hawajawahi kufika mwanza ndo wataamini huu urojo wako .. unaposema mwanza yenye milima .ni just 30 percent ya jiji ..Tena kama ulifika mwanza ukakomea mabatini na igogo pole sna...tembea Tena .hizi kata huji kuona milima .Tunaongelea mipaka ya jiji wewe unaongelea sehemu za wilaya za Misungwi na huko Kwimba ilimradi kuchimba watu mikwara mji uonekane ni mpana kumbe hamna kitu.
Unlike mji wako huo linear uliobanwa na safu ya milima unapata wapi pumzi ya kujilinganisha na Dodoma iliyojengwa katika mfumo wa nuclear settlement na ina pande zote nne zilizojengeka na bado kuna maeneo makubwa kwa ajili ya mji kuja kutanuka hapo baadae.
Mwanza ina pande kuu tatu tu zilizojengwa zinazooneshwa na barabara zake kuu tatu yaani mjini-airport, mjini-buhongwa na mjini-nyamhongolo palipobaki ni aidha eneo la ziwa au nje ya mipaka ya eneo la jiji.
Nyakato [emoji116]is equal to dodoma yote. . nionyeshe milima hapa mbeya mkubwa wew [emoji12][emoji12]Tunaongelea mipaka ya jiji wewe unaongelea sehemu za wilaya za Misungwi na huko Kwimba ilimradi kuchimba watu mikwara mji uonekane ni mpana kumbe hamna kitu.
Unlike mji wako huo linear uliobanwa na safu ya milima unapata wapi pumzi ya kujilinganisha na Dodoma iliyojengwa katika mfumo wa nuclear settlement na ina pande zote nne zilizojengeka na bado kuna maeneo makubwa kwa ajili ya mji kuja kutanuka hapo baadae.
Mwanza ina pande kuu tatu tu zilizojengwa zinazooneshwa na barabara zake kuu tatu yaani mjini-airport, mjini-buhongwa na mjini-nyamhongolo palipobaki ni aidha eneo la ziwa au nje ya mipaka ya eneo la jiji.
Nimejaribu kusogeza angle vizuri unionyeshe milima hapa nyakato na buzurugaTunaongelea mipaka ya jiji wewe unaongelea sehemu za wilaya za Misungwi na huko Kwimba ilimradi kuchimba watu mikwara mji uonekane ni mpana kumbe hamna kitu.
Unlike mji wako huo linear uliobanwa na safu ya milima unapata wapi pumzi ya kujilinganisha na Dodoma iliyojengwa katika mfumo wa nuclear settlement na ina pande zote nne zilizojengeka na bado kuna maeneo makubwa kwa ajili ya mji kuja kutanuka hapo baadae.
Mwanza ina pande kuu tatu tu zilizojengwa zinazooneshwa na barabara zake kuu tatu yaani mjini-airport, mjini-buhongwa na mjini-nyamhongolo palipobaki ni aidha eneo la ziwa au nje ya mipaka ya eneo la jiji.
Labda mwanza jiji , nyamaganaMbona ulipoambiwa Mwanza inakalishwa 2times na Kinondoni pekee ulinywea? Sasa hata Dodoma ni hivyo hivyo hamna pa kutorokea.
Mwanza ijikongoje kivipi kwa mfano. Hapo ilipo si kwa nguvu za serikali. Jiji linakuwa kwa nguvu za raia wewe hata dodoma kuitwa Jiji ni ubabe wa mwenda zake na bila miradi ya kiserikali dodoma ni idodomya tu. Kama utakuja kutokea siku dodoma imeizidi mwanza nitafunga akaunti yangu jf. Kila mnacholeta humu ni government projects sasa nyinyi mnamchango Gani kwa Jiji lenu.Mkuu Undava king, hawa ndugu wa Mwanza nadhani hawaelewi. Dodoma sasa sio size yao, uzuri wa Dodoma ni kwamba wana eneo kubwa la wazi na lipo katikati ya Jiji. Maadamu yule aliyekuwa anajenga miji hii miwili (Mwanza na Dodoma ) kwa pamoja hayupo basi uelewe kuwa Mwanza sasa ni ya kujikongoja kama miji mingine. Tambua kuwa wakati Mwanza inajengwa, jamaa aliipa miji mingine kisogo, na kweli ustawi wa miji ya Arusha na Moshi ulikuwa ya kususua..
Acha uongo, unaijua Arusha kweli...?!Mkuu Undava king, hawa ndugu wa Mwanza nadhani hawaelewi. Dodoma sasa sio size yao, uzuri wa Dodoma ni kwamba wana eneo kubwa la wazi na lipo katikati ya Jiji. Maadamu yule aliyekuwa anajenga miji hii miwili (Mwanza na Dodoma ) kwa pamoja hayupo basi uelewe kuwa Mwanza sasa ni ya kujikongoja kama miji mingine. Tambua kuwa wakati Mwanza inajengwa, jamaa aliipa miji mingine kisogo, na kweli ustawi wa miji ya Arusha na Moshi ulikuwa ya kususua..
Kipi ambacho sio Cha Serikali hapo Mwanza? Majengo yote mazuri mnayojivunia ni ya Serikali 😁😁Mwanza ijikongoje kivipi kwa mfano. Hapo ilipo si kwa nguvu za serikali. Jiji linakuwa kwa nguvu za raia wewe hata dodoma kuitwa Jiji ni ubabe wa mwenda zake na bila miradi ya kiserikali dodoma ni idodomya tu. Kama utakuja kutokea siku dodoma imeizidi mwanza nitafunga akaunti yangu jf. Kila mnacholeta humu ni government projects sasa nyinyi mnamchango Gani kwa Jiji lenu.
Dom streets a beehive of construction activities.Nimejaribu kusogeza angle vizuri unionyeshe milima hapa nyakato na buzuruga View attachment 2562183View attachment 2562186
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mashamba tuDom streets a beehive of construction activities.View attachment 2562362View attachment 2562363View attachment 2562364View attachment 2562365View attachment 2562366View attachment 2562367View attachment 2562369
Mitaa Iko wapi? 😁😁Wadanganye ambao hawajawahi kufika mwanza ndo wataamini huu urojo wako .. unaposema mwanza yenye milima .ni just 30 percent ya jiji ..Tena kama ulifika mwanza ukakomea mabatini na igogo pole sna...tembea Tena .hizi kata huji kuona milima .
nyamhongolo, nyakato, buswelu,mecco, nyasaka, kiseke, mhandu,igoma,bugogwa, sangabuye, kahama,
Kata hizi Zina milima ila makazi yake mengi yako bondeni
Buhongwa, mkolani, nyegezi, kishiri,mahina, ilemela, kiloleli, buzuruga, kirumba. pasiansi na luchelele
Mwanza unayoizungumzia sijui imejengwa milimani .. hiyo ni igogo, mabatini,mbugani, Kitangiri, nyamanoro, butimba na kata ya mkuyuni....
By vyovyote vile huwezi ilinganisha dodoma na mwanza Kwa ukubwa Wala ubora ... dodoma ndio linear Kaangalie Nala ,mkonze,kisasa, nzuguni,makulu , msalato.kama unaweza tembea km 1 kuelekea ndani kama hujakutana na machaka .[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni nyakato na nyasaka tu , ukiniletea maeneo mawili ya dodoma yenye mass settlement kama haya nitagg .picha ya ukubwa huu dodoma inachukua jiji ZimaView attachment 2562162View attachment 2562165View attachment 2562167
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii recreational park ni bab kubwa aisee, Dodoma is unstoppable. Tunapotenga maeneo kwa ajili ya kuja kujenga project nzuri kama hizi wale wanaoishi katika dunia yao ya vibanda mfululu utubeza kwa kuita machaka pori lakini hawajui kuwa kila sehemu Dodoma imepimwa kimkakati na imetengwa kwa sababu maalumu, ukiona eneo halina makazi na liko ndani ya mji we subiria suprise Dodoma haijawahi kudissapoint.Future ya Dom is brighter
Mwendelee kumshukuru jiwe, pamoja na unyama wake zidi ya baadhi ya watz lakini jitihada zake za kupush Dodoma capital city nadhani zimeanza kuwalipa handsomely
Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
Aisee hii ndo maana ya mitaa ya kishua inavyojengwa siyo ile mikkde anayotupostia hapa vibanda mfululizo vimetapakaa kila mahali mabondeni na milimani bila hata ya mpangilio wala hadhi, Dodoma kila picha ukosi cranes na majengo makali mji huko bize na constructions muda wote, kuashiria kwamba ndiyo kwanza tumeanza huku Mwanza ishalowa tiyari.Dom streets a beehive of construction activities.View attachment 2562362View attachment 2562363View attachment 2562364View attachment 2562365View attachment 2562366View attachment 2562367View attachment 2562369
Dodoma inanyukwa na kaeneo haka.Nimejaribu kusogeza angle vizuri unionyeshe milima hapa nyakato na buzuruga View attachment 2562183View attachment 2562186
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tulia huijui mwanzaKipi ambacho sio Cha Serikali hapo Mwanza? Majengo yote mazuri mnayojivunia ni ya Serikali 😁😁