Huku si mashambani ndo uje kulinganisha na mwanzaDom streets a beehive of construction activities.View attachment 2562362View attachment 2562363View attachment 2562364View attachment 2562365View attachment 2562366View attachment 2562367View attachment 2562369
Acha bangi ,, ukiniletea picha ya Nyerere square kama Kuna crane ,,naleft jamii forum hutaniona Tena humu [emoji3060][emoji3060][emoji205][emoji205]Aisee hii ndo maana ya mitaa ya kishua inavyojengwa siyo ile mikkde anayotupostia hapa vibanda mfululizo vimetapakaa kila mahali mabondeni na milimani bila hata ya mpangilio wala hadhi, Dodoma kila picha ukosi cranes na majengo makali mji huko bize na constructions muda wote, kuashiria kwamba ndiyo kwanza tumeanza huku Mwanza ishalowa tiyari.
Mwanza is slum ni kama dampoHuku si mashambani ndo uje kulinganisha na mwanza
Wewe unaeijua leta kitu ambacho sio Cha Serikali tukioneWewe tulia huijui mwanza
Sema hapa mnajifurahisha tuWewe unaeijua leta kitu ambacho sio Cha Serikali tukione
GOMGEM VILLAS
Picha za kitambo sana hiyo wewe.Dodoma hii sehemu ndio mnaita city mall [emoji38][emoji38]View attachment 2563287
Na barabara ya karibu na hili jengo mnashindwa kufix mashimo mashimo, yaani barabara haitamaniki [emoji38][emoji38]View attachment 2563290
Leta picha za Paradise City Mall za sasaPicha za kitambo sana hiyo wewe.
Usisahau daraja la waenda kwa miguu near rock city mallAisee! Ngoja nikukumbushe fadhila kadhaa za ngosha kwa jiji la Mwanza:-
1. Kilomita za lami fupi za mijini Mwanza mlipewa nyingi tu kumaliza vumbi pale mjini na huko mitaani mfano sabasaba, nyasaka n.k.
2. Ujenzi wa terminal na jengo la mizigo, utanuzi wa run way katika airport ya mwanza
3. Ujenzi wa njia nne mjini to airport
4. Jengo jipya la taasisi ya kansa pale Bugando
5. Ujenzi wa bypass Kisesa to Usagara
6. Ujenzi wa nyumba za watumishi house
7. Ujenzi wa kiwanda kikubwa cha pharmaceutical
8. Uwekaji wa taa za barabarani na za wavukaji barabara ndani ya jiji zima
9. Ujenzi wa masoko ya dhahabu na kiwanda cha ukataji vito
10. Kipaumbele cha mikopo ya uhakika katika uwekezaji wa vituo vya mafuta kwa Mwanza ilitia fora (angalia sheli ngapi zilijengwa kwa fujo barabara ya kisesa to nyashishi)
11. Benki kuu ya Tanzania- Mwanza
12. Mradi wa kujenga tanki kubwa la maji kukamilisha ujazo unaokosekana sasa kuhudumia jiji zima (aliondoka kabla utekelezaji haujaanza) n.k
Hii ndiyo miradi tunayotaka sisi ifanyike Dodoma na siyo vile viutumishi house vya kisesa vya nyumba 20 lakini havina occupancy miaka zaidi ya kumi sasa. Wengine kila siku nikuchonga tu mara oh Dodoma nyumba nyingi lakini watu hakuna, we unafikiri kuna kichaa wa kujenga nyumba zaidi na zaidi mahali ambapo demand hakuna.
Siyo hivyo tu kama haitoshi haliwajengea mpaka na nyerere road plaza pale round about ya nyerere ili wapate pakupigia picha.Usisahau daraja la waenda kwa miguu near rock city mall
Nani alijenga Nyerere road plazaSiyo hivyo tu kama haitoshi haliwajengea mpaka na nyerere road plaza pale round about ya nyerere ili wapate pakupigia picha.