Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Aisee hii ndo maana ya mitaa ya kishua inavyojengwa siyo ile mikkde anayotupostia hapa vibanda mfululizo vimetapakaa kila mahali mabondeni na milimani bila hata ya mpangilio wala hadhi, Dodoma kila picha ukosi cranes na majengo makali mji huko bize na constructions muda wote, kuashiria kwamba ndiyo kwanza tumeanza huku Mwanza ishalowa tiyari.
Acha bangi ,, ukiniletea picha ya Nyerere square kama Kuna crane ,,naleft jamii forum hutaniona Tena humu [emoji3060][emoji3060][emoji205][emoji205]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1679589846660.jpg

Mjikusanye wote Arusha dom mbeya mniletee kitu kama hiki
 
Dodoma mji wenu ni mzuri sana, ila kufikia level ya Mwanza ya Sasa ni miaka 5 ijayo na wakati huo Mwanza itakuwa kwenye next level zaidi
Anyway, huu ndio mji wenu wa Dodoma, nawasaidia kwa picha [emoji28][emoji28]
Screenshot_20230324-001837~2.jpg
Screenshot_20230324-001945~2.jpg
Screenshot_20230324-002005~2.jpg
Screenshot_20230324-002035~2.jpg
Screenshot_20230324-002056~2.jpg
Screenshot_20230324-002118~2.jpg
Screenshot_20230324-002152~2.jpg
Screenshot_20230324-002301~2.jpg
Screenshot_20230324-002338~2.jpg
Screenshot_20230324-002354~2.jpg
Screenshot_20230324-002444~2.jpg
Screenshot_20230324-002645~2.jpg
 
Dodoma hii sehemu ndio mnaita city mall [emoji38][emoji38]
Screenshot_20230324-002241~2.jpg


Na barabara ya karibu na hili jengo mnashindwa kufix mashimo mashimo, yaani barabara haitamaniki [emoji38][emoji38]
Screenshot_20230324-002226~2.jpg
 
Aisee! Ngoja nikukumbushe fadhila kadhaa za ngosha kwa jiji la Mwanza:-
1. Kilomita za lami fupi za mijini Mwanza mlipewa nyingi tu kumaliza vumbi pale mjini na huko mitaani mfano sabasaba, nyasaka n.k.

2. Ujenzi wa terminal na jengo la mizigo, utanuzi wa run way katika airport ya mwanza

3. Ujenzi wa njia nne mjini to airport

4. Jengo jipya la taasisi ya kansa pale Bugando

5. Ujenzi wa bypass Kisesa to Usagara

6. Ujenzi wa nyumba za watumishi house

7. Ujenzi wa kiwanda kikubwa cha pharmaceutical

8. Uwekaji wa taa za barabarani na za wavukaji barabara ndani ya jiji zima

9. Ujenzi wa masoko ya dhahabu na kiwanda cha ukataji vito

10. Kipaumbele cha mikopo ya uhakika katika uwekezaji wa vituo vya mafuta kwa Mwanza ilitia fora (angalia sheli ngapi zilijengwa kwa fujo barabara ya kisesa to nyashishi)

11. Benki kuu ya Tanzania- Mwanza

12. Mradi wa kujenga tanki kubwa la maji kukamilisha ujazo unaokosekana sasa kuhudumia jiji zima (aliondoka kabla utekelezaji haujaanza) n.k
Usisahau daraja la waenda kwa miguu near rock city mall
 
Hii ndiyo miradi tunayotaka sisi ifanyike Dodoma na siyo vile viutumishi house vya kisesa vya nyumba 20 lakini havina occupancy miaka zaidi ya kumi sasa. Wengine kila siku nikuchonga tu mara oh Dodoma nyumba nyingi lakini watu hakuna, we unafikiri kuna kichaa wa kujenga nyumba zaidi na zaidi mahali ambapo demand hakuna.
 
Back
Top Bottom