Unavyoambiwa hakuna jiji lenye miundombinu na mipango miji iliyopangiliwa kama Dodoma uwe unaelewa mkuu. Dodoma kuna Swaswa Sewerage System pamoja na Dampo la kisasa la takataka Chidaya(barabara ya kwenda Mvumi Hospitali).....Kwa taarifa yako tu aina hii ya dampo la kisasa la Chidaya yapo mawili tu katika Afrika π€£π€£π€£π€£View attachment 2562992
Mjikusanye wote Arusha dom mbeya mniletee kitu kama hiki
Serikali ipi..... ya Burundi au Sudani πππ
Hayo makabila yote yamekaa kiporipori, turudi kwenye mada leta hiyo picha ya hotel ya dodoma.unatumia smartfone alafu huwezi kuingia kwa website uliyowekewa hadi link eti unataka pichaπππingia kwa website utazikuta picha
Alafu usikariri Dodoma ni Wagogo.Dodoma ni makao makuu ya nchi kila kabila linaishi pale ni kama ilivyo kwa Dar
Makabila asili ya Dodoma
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
-Wagogo
-Wanyambwa
-Wasandawe
-Wamang'ati
-Wahehe
-Wakaguru
n.k
Unapenda sana maneno kama dada mwajuma, hayo maneno tunayaamini vipi bila evidence ya picha.Unavyoambiwa hakuna jiji lenye miundombinu na mipango miji iliyopangiliwa kama Dodoma uwe unaelewa mkuu. Dodoma kuna Swaswa Sewerage System pamoja na Dampo la kisasa la takataka Chidaya(barabara ya kwenda Mvumi Hospitali).....Kwa taarifa yako tu aina hii ya dampo la kisasa la Chidaya yapo mawili tu katika Afrika π€£π€£π€£π€£
Hayo ni mazao yanaimili ukame na hali ya acidic inayopatikana jangwani DodomaCairo ipo jangwani na inaongoza Africaππ.Alafu kama ni kweli Dodoma ipo Jangwani wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa π€£π€£π€£π€£
Mwanza kuna gap sehemu gani?Exactly,eneo la Mwanza Jiji limezungukwa na Ziwa Victoria plus milima ya mawe,lipo scattered unlike Dodoma ambayo eneo lote lipo Compact sehemu moja hakuna ma-gaps yoyote ukitoa tu maeneo ya jeshi-Msalato,Makutupora,Nala,Ihumwa pamoja na kambi ndogo ya jeshi Ntyuka
Akijibu nitaggMwanza kuna gap sehemu gani?
Hayo uliyoandika hayana uhalisia kwa watu wa Dodoma, ukitoa wafanyakazi asilimia kubwa ya watu wa Dodoma nuru haipo kulingana na hilo jangwa ππ ndiyo maana hata watumishi ikifika weekend wanarudi Dar.Cairo ipo jangwani na inaongoza Africaππ.Alafu kama ni kweli Dodoma ipo Jangwani wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa π€£π€£π€£π€£
Na sehemu inayoongoza kwa magonjwa ya macho ikiwemo upofu au trachoma.Hayo uliyoandika hayana uhalisia kwa watu wa Dodoma, ukitoa wafanyakazi asilimia kubwa ya watu wa Dodoma nuru haipo kulingana na hilo jangwa ππ ndiyo maana hata watumishi ikifika weekend wanarudi Dar.
Hamna kitu pale mkuu ukiangalia vizuri hata picha zinazotumwa humu nyingi ni majengo ya serikali sijaona picha za maana za makazi ya watu na hiyo inatoa picha watu wengi wapo kikazi lakini makazi yao yapo sehemu nyingine.Na sehemu inayoongoza kwa magonjwa ya macho ikiwemo upofu au trachoma.
Hamna kitu pale mkuu ukiangalia vizuri hata picha zinazotumwa humu nyingi ni majengo ya serikali sijaona picha za maana za makazi ya watu na hiyo inatoa picha watu wengi wapo kikazi lakini makazi yao yapo sehemu nyingine.
Miradi ya serikali ipi ya Burundi au Rwanda.....πππKila picha wanayoleta ni mradi wa serikali halafu useme dodoma nalo ni jiji hovyo kabisaa.
Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja ππ....nina wasiwasi hata Dodoma Jiji hujawahi kukanyagaHayo uliyoandika hayana uhalisia kwa watu wa Dodoma, ukitoa wafanyakazi asilimia kubwa ya watu wa Dodoma nuru haipo kulingana na hilo jangwa ππ ndiyo maana hata watumishi ikifika weekend wanarudi Dar.
unataka evidence sioππUnapenda sana maneno kama dada mwajuma, hayo maneno tunayaamini vipi bila evidence ya picha.
Nimekaa sana hapo na February nilikuwepo, hamna maajabu ya kutisha mpaka mlinganishe na mwanza.Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja ππ....nina wasiwasi hata Dodoma Jiji hujawahi kukanyaga
Ya congoMiradi ya serikali ipi ya Burundi au Rwanda.....πππ
Hivi vitu mwanza tulivipata kipindi hicho, leo nyie ndo mnajengewaunataka evidence sioππ
Uwe unajitahidi kuficha ujinga wako basi humu kidogo πππungesoma hiyo link ungeona ni ya mwaka 2017 ila kwasababu wewe ni MEMKWA unakwepa kusoma unapenda picha ndio tatizo hilo.Hivi vitu mwanza tulivipata kipindi hicho, leo nyie ndo mnajengewa
unataka evidence sioππ