Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

View attachment 2562992
Mjikusanye wote Arusha dom mbeya mniletee kitu kama hiki
Unavyoambiwa hakuna jiji lenye miundombinu na mipango miji iliyopangiliwa kama Dodoma uwe unaelewa mkuu. Dodoma kuna Swaswa Sewerage System pamoja na Dampo la kisasa la takataka Chidaya(barabara ya kwenda Mvumi Hospitali).....Kwa taarifa yako tu aina hii ya dampo la kisasa la Chidaya yapo mawili tu katika Afrika 🤣🤣🤣🤣
 
unatumia smartfone alafu huwezi kuingia kwa website uliyowekewa hadi link eti unataka picha😀😀😀ingia kwa website utazikuta picha
Alafu usikariri Dodoma ni Wagogo.Dodoma ni makao makuu ya nchi kila kabila linaishi pale ni kama ilivyo kwa Dar
Makabila asili ya Dodoma
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
-Wagogo
-Wanyambwa
-Wasandawe
-Wamang'ati
-Wahehe
-Wakaguru
n.k
Hayo makabila yote yamekaa kiporipori, turudi kwenye mada leta hiyo picha ya hotel ya dodoma.
 
Unavyoambiwa hakuna jiji lenye miundombinu na mipango miji iliyopangiliwa kama Dodoma uwe unaelewa mkuu. Dodoma kuna Swaswa Sewerage System pamoja na Dampo la kisasa la takataka Chidaya(barabara ya kwenda Mvumi Hospitali).....Kwa taarifa yako tu aina hii ya dampo la kisasa la Chidaya yapo mawili tu katika Afrika 🤣🤣🤣🤣
Unapenda sana maneno kama dada mwajuma, hayo maneno tunayaamini vipi bila evidence ya picha.
 
Cairo ipo jangwani na inaongoza Africa😀😀.Alafu kama ni kweli Dodoma ipo Jangwani wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa 🤣🤣🤣🤣
Hayo ni mazao yanaimili ukame na hali ya acidic inayopatikana jangwani Dodoma
 
Exactly,eneo la Mwanza Jiji limezungukwa na Ziwa Victoria plus milima ya mawe,lipo scattered unlike Dodoma ambayo eneo lote lipo Compact sehemu moja hakuna ma-gaps yoyote ukitoa tu maeneo ya jeshi-Msalato,Makutupora,Nala,Ihumwa pamoja na kambi ndogo ya jeshi Ntyuka
Mwanza kuna gap sehemu gani?
 
Cairo ipo jangwani na inaongoza Africa😀😀.Alafu kama ni kweli Dodoma ipo Jangwani wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa 🤣🤣🤣🤣
Hayo uliyoandika hayana uhalisia kwa watu wa Dodoma, ukitoa wafanyakazi asilimia kubwa ya watu wa Dodoma nuru haipo kulingana na hilo jangwa 😂😂 ndiyo maana hata watumishi ikifika weekend wanarudi Dar.
 
Na sehemu inayoongoza kwa magonjwa ya macho ikiwemo upofu au trachoma.
 
Hamna kitu pale mkuu ukiangalia vizuri hata picha zinazotumwa humu nyingi ni majengo ya serikali sijaona picha za maana za makazi ya watu na hiyo inatoa picha watu wengi wapo kikazi lakini makazi yao yapo sehemu nyingine.
 
Kila picha wanayoleta ni mradi wa serikali halafu useme dodoma nalo ni jiji hovyo kabisaa.
Hamna kitu pale mkuu ukiangalia vizuri hata picha zinazotumwa humu nyingi ni majengo ya serikali sijaona picha za maana za makazi ya watu na hiyo inatoa picha watu wengi wapo kikazi lakini makazi yao yapo sehemu nyingine.
 
Hayo uliyoandika hayana uhalisia kwa watu wa Dodoma, ukitoa wafanyakazi asilimia kubwa ya watu wa Dodoma nuru haipo kulingana na hilo jangwa 😂😂 ndiyo maana hata watumishi ikifika weekend wanarudi Dar.
Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja 😀😀....nina wasiwasi hata Dodoma Jiji hujawahi kukanyaga
 
Nimekaa sana hapo na February nilikuwepo, hamna maajabu ya kutisha mpaka mlinganishe na mwanza.
 
Hivi vitu mwanza tulivipata kipindi hicho, leo nyie ndo mnajengewa
Uwe unajitahidi kuficha ujinga wako basi humu kidogo 😀😀😀ungesoma hiyo link ungeona ni ya mwaka 2017 ila kwasababu wewe ni MEMKWA unakwepa kusoma unapenda picha ndio tatizo hilo.
Alafu unasema Mwanza mlipata kipindi hicho lini🤣🤣🤣 .Madampo ya kisasa kama hilo la Dodoma yanayotumika kuzalisha gesi yapo mawili tu Afrika nzima
 
unataka evidence sio😀😀

Screenshot_20230329-203554_1680111419912.jpg
 
Back
Top Bottom