4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
inabid upimwe akili kuifananisha mwanza na dodoma , ni vichaa tu , wagogo kuwekewa rami mnataka jiona km newyork siku mkijengewa flyover je ? kila mtu mtamuona msukumaWe ngosha nenda kwanza shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inabid upimwe akili kuifananisha mwanza na dodoma , ni vichaa tu , wagogo kuwekewa rami mnataka jiona km newyork siku mkijengewa flyover je ? kila mtu mtamuona msukumaWe ngosha nenda kwanza shule
hili jibu lako linasadifu upeo wako wa akiliHiyo moro yako kaifananishe na manyoni
ukute hata moro hujafika ukipita msamvu unahisi umefika moro town , kiufup moro town na dodoma , moro pako juu kitambo sn , ni ulimbuken wenu wa rami na stand mpya ( moro wanayo kitambo )Hiyo moro yako kaifananishe na manyoni
hahahaaaaaAcha kufananisha Lindi na huko porini Arusha.
Dodoma mnaumia sana ..kukaa kwenye ukame mkavu kama huo ..Bora uwe jangwani lakin upate upepo na mandhari ya bahari kama Tunis na Dubai ....
Usiharibu uzi, watu watakucheka bure.. Nakwambia hivi moro town yoote imezidiwa miundombinu na chuo cha udom kuanzia majengo mpaka barabara sasa kama unabisha leta hoja ya kupingaukute hata moro hujafika ukipita msamvu unahisi umefika moro town , kiufup moro town na dodoma , moro pako juu kitambo sn , ni ulimbuken wenu wa rami na stand mpya ( moro wanayo kitambo )
Rami ndio nini??ukute hata moro hujafika ukipita msamvu unahisi umefika moro town , kiufup moro town na dodoma , moro pako juu kitambo sn , ni ulimbuken wenu wa rami na stand mpya ( moro wanayo kitambo )
Mpaka vituo vya afya pia mnashindanisha du hizi ni level za mamlaka ya miji midogoSite work .. initial stage..... going on is construction of mega health facility at nyamhongolo area..opp to bus terminal [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]...hii speed iliyonayo Mwanza sijui dodoma mtafika Lini
#sitempya_kila_mahala View attachment 2573786View attachment 2573789
Mh yani moro nayo ni yakulinganisha na dom kweli?,moro kuna nini cha mnoukute hata moro hujafika ukipita msamvu unahisi umefika moro town , kiufup moro town na dodoma , moro pako juu kitambo sn , ni ulimbuken wenu wa rami na stand mpya ( moro wanayo kitambo )
Kwa akili zako , ndogo umeona hicho ni kituo Cha afyaMpaka vituo vya afya pia mnashindanisha du hizi ni level za mamlaka ya miji midogo
Nimepapenda, rangi ya bati zote zinafanana safi sana na hii inpendezesha sana mji, unakuta maeneo mengine bati ni za kutu, mara meupe mpaka yanaumiza macho.
Acha kuipondea mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimepapenda, rangi ya bati zote zinafanana safi sana na hii inpendezesha sana mji, unakuta maeneo mengine bati ni za kutu, mara meupe mpaka yanaumiza macho.
Ila mbeya wanaitaji kuupanga mji wao wate huwe wakisasa, mji unazidiwa na n singida kwa mipango mji.Acha kuipondea mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama tunaumia mbona watu hawahami? 😁😁Dodoma mnaumia sana ..kukaa kwenye ukame mkavu kama huo ..Bora uwe jangwani lakin upate upepo na mandhari ya bahari kama Tunis na Dubai ....
[emoji116]View attachment 2577020
Soma hyo [emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]Kama tunaumia mbona watu hawahami? [emoji16][emoji16]
Eti hicho Kijijini Cha wavuvi kinataka kushindana na Dom,