Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hiyo moro yako kaifananishe na manyoni
ukute hata moro hujafika ukipita msamvu unahisi umefika moro town , kiufup moro town na dodoma , moro pako juu kitambo sn , ni ulimbuken wenu wa rami na stand mpya ( moro wanayo kitambo )
 
Dodoma mnaumia sana ..kukaa kwenye ukame mkavu kama huo ..Bora uwe jangwani lakin upate upepo na mandhari ya bahari kama Tunis na Dubai ....
[emoji116]
20230405_084249.jpg
 
ukute hata moro hujafika ukipita msamvu unahisi umefika moro town , kiufup moro town na dodoma , moro pako juu kitambo sn , ni ulimbuken wenu wa rami na stand mpya ( moro wanayo kitambo )
Usiharibu uzi, watu watakucheka bure.. Nakwambia hivi moro town yoote imezidiwa miundombinu na chuo cha udom kuanzia majengo mpaka barabara sasa kama unabisha leta hoja ya kupinga
 
ukute hata moro hujafika ukipita msamvu unahisi umefika moro town , kiufup moro town na dodoma , moro pako juu kitambo sn , ni ulimbuken wenu wa rami na stand mpya ( moro wanayo kitambo )
Rami ndio nini??
 
Site work .. initial stage..... going on is construction of mega health facility at nyamhongolo area..opp to bus terminal [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]...hii speed iliyonayo Mwanza sijui dodoma mtafika Lini
#sitempya_kila_mahala View attachment 2573786View attachment 2573789
Mpaka vituo vya afya pia mnashindanisha du hizi ni level za mamlaka ya miji midogo
 
ukute hata moro hujafika ukipita msamvu unahisi umefika moro town , kiufup moro town na dodoma , moro pako juu kitambo sn , ni ulimbuken wenu wa rami na stand mpya ( moro wanayo kitambo )
Mh yani moro nayo ni yakulinganisha na dom kweli?,moro kuna nini cha mno
 
Nimepapenda, rangi ya bati zote zinafanana safi sana na hii inpendezesha sana mji, unakuta maeneo mengine bati ni za kutu, mara meupe mpaka yanaumiza macho.
Acha kuipondea mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom