Msalato [emoji116][emoji116][emoji12][emoji1787][emoji1787]Uwe unajitahidi kuficha ujinga wako basi humu kidogo [emoji3][emoji3][emoji3]ungesoma hiyo link ungeona ni ya mwaka 2017 ila kwasababu wewe ni MEMKWA unakwepa kusoma unapenda picha ndio tatizo hilo.
Alafu unasema Mwanza mlipata kipindi hicho lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .Madampo ya kisasa kama hilo la Dodoma yanayotumika kuzalisha gesi yapo mawili tu Afrika nzima
Huyo jamaa alikuwa anaandika kwa kutumia lugha gani? Halafu hiyo ni stendi ya muda na lilikuwa eneo la shule japo jiji la mwanza linatakiwa kuparekebisha kuhepuka hii aibu.Mwanza 😝😝😝
Kwa nini asingepiga stand ya Nyegezi ambayo muda wowote itaanza kutumika..... kaenda kupiga uwanja wa shule ya NyabulogoyaHuyo jamaa alikuwa anaandika kwa kutumia lugha gani? Halafu hiyo ni stendi ya muda na lilikuwa eneo la shule japo jiji la mwanza linatakiwa kuparekebisha kuhepuka hii aibu.
Hao ndio wakina sunk farasi ni mahaters tu wa jiji la Mwanza.Kwa nini asingepiga stand ya Nyegezi ambayo muda wowote itaanza kutumika..... kaenda kupiga uwanja wa shule ya Nyabulogoya
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Mwanza is a disorganized City uchwara full of mabanda ya nguruwe..Hao ndio wakina sunk farasi ni mahaters tu wa jiji la Mwanza.
Hiyo barabara ipo vizuri lakini hivyo vibanda vya hapo iyumbu vimejaa kila sehemu ya TanzaniaMwanza is a disorganized City uchwara full of mabanda ya nguruwe..
Here comes Dodoma City,Iyumbu Suburb
View attachment 2571924
Hili na Dampo la Buhongwa yanautofaut gani?unataka evidence sio😀😀
Site work .. initial stage..... going on is construction of mega health facility at nyamhongolo area..opp to bus terminal [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]...hii speed iliyonayo Mwanza sijui dodoma mtafika LiniMwanza is a disorganized City uchwara full of mabanda ya nguruwe..
Here comes Dodoma City,Iyumbu Suburb
View attachment 2571924
Hako ni kamradi gani naona kama kanakutoa makamasi ,ubao hausomekiSite work .. initial stage..... going on is construction of mega health facility at nyamhongolo area..opp to bus terminal [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]...hii speed iliyonayo Mwanza sijui dodoma mtafika Lini
#sitempya_kila_mahala View attachment 2573786View attachment 2573789
Site clearing..maandalizi ya ujenzi wa station ya SGR . mwanza central station
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tofauti na hako ka keepleft ka samaki Kuna nini kipya? Dom Ina keepleft 6 so sio big deal Kwa Dom hiyo.