Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Uwe unajitahidi kuficha ujinga wako basi humu kidogo [emoji3][emoji3][emoji3]ungesoma hiyo link ungeona ni ya mwaka 2017 ila kwasababu wewe ni MEMKWA unakwepa kusoma unapenda picha ndio tatizo hilo.
Alafu unasema Mwanza mlipata kipindi hicho lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .Madampo ya kisasa kama hilo la Dodoma yanayotumika kuzalisha gesi yapo mawili tu Afrika nzima
Msalato [emoji116][emoji116][emoji12][emoji1787][emoji1787]
1677910714639.jpg
 
Huyo jamaa alikuwa anaandika kwa kutumia lugha gani? Halafu hiyo ni stendi ya muda na lilikuwa eneo la shule japo jiji la mwanza linatakiwa kuparekebisha kuhepuka hii aibu.
Kwa nini asingepiga stand ya Nyegezi ambayo muda wowote itaanza kutumika..... kaenda kupiga uwanja wa shule ya Nyabulogoya

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio wakina sunk farasi ni mahaters tu wa jiji la Mwanza.
Mwanza is a disorganized City uchwara full of mabanda ya nguruwe..

Here comes Dodoma City,Iyumbu Suburb
 
Mwanza is a disorganized City uchwara full of mabanda ya nguruwe..

Here comes Dodoma City,Iyumbu Suburb
View attachment 2571924
Site work .. initial stage..... going on is construction of mega health facility at nyamhongolo area..opp to bus terminal [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]...hii speed iliyonayo Mwanza sijui dodoma mtafika Lini
#sitempya_kila_mahala
IMG-20230121-WA0005.jpg
IMG-20230121-WA0015.jpg
 

Attachments

  • IMG-20230317-WA0000.jpg
    IMG-20230317-WA0000.jpg
    123.2 KB · Views: 12
Back
Top Bottom