Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Msalato [emoji116][emoji116][emoji12][emoji1787][emoji1787]Uwe unajitahidi kuficha ujinga wako basi humu kidogo [emoji3][emoji3][emoji3]ungesoma hiyo link ungeona ni ya mwaka 2017 ila kwasababu wewe ni MEMKWA unakwepa kusoma unapenda picha ndio tatizo hilo.
Alafu unasema Mwanza mlipata kipindi hicho lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .Madampo ya kisasa kama hilo la Dodoma yanayotumika kuzalisha gesi yapo mawili tu Afrika nzima