Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dom City Population has grown from mere 400k in 2012 to more than 765k in 2022 and still rapidly counting,olmost two fold.

Siku Manispaa ya Chamwino ikitangazwa Dom City ( including Chamwino MC) as a whole itakuwa na Wakaazi more than 1 million.

Kwa Sasa Kuna kata kibao ziko Nje ya Mipaka ya Jiji lakini generally ziko Jijini kama Chamwino yenyewe,makulu nk.

Mwanza mpo? Kumbuka population ya Dom Ina purchasing power kubwa sio sawa na wale watu wenu maskini.
 
Ivi unajua ukubwa wa eneo la Dom city?, yaani ni eneo kubwa ambalo limebeba Vijiji na Mapori ya kutosha ndo mana idadi ya watu ni kubwa ila kiuhalisia wakichukuna Urbanised area inawatu wachache sana
 
M
Mwanza CBD iko wapi. usilinganishe vitu visivyolingana. Mwanza nia squater tu
 
Uwekezaji mwanza ni mkubwa, WanaMwanza kazi yao ni kushusha Vitu, Barabara na Miundombinu ni kazi ya Serikali. Confirmed private projects
 

Attachments

  • FB_IMG_1681764701501.jpg
    38.4 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1681764794682.jpg
    45.5 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1681764797019.jpg
    43.7 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1681764699381.jpg
    32 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…