ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nikitaka ku mention au ku tag how do I do maan Huwa naona mnani mention harafu sielewi elewi πππHat mlimani city ilianza kwenye karatasi...ya kwenu Iko wapi [emoji16] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Ebu tuone design ya frame za NHC unazoziita mall
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonyeza alama ya (at)Nikitaka ku mention au ku tag how do I do maan Huwa naona mnani mention harafu sielewi elewi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hujawahi kuwa Mwalimu ,weka mfano Kwa screenshot
Weka hyo alama then jinaHujawahi kuwa Mwalimu ,weka mfano Kwa screenshot
Dodoma kufikisha watu milioni isahau ... tayari imeshafikia kwenye peak ... growth rate inaanza kudropDom City Population has grown from mere 400k in 2012 to more than 765k in 2022 and still rapidly counting,olmost two fold.
Siku Manispaa ya Chamwino ikitangazwa Dom City ( including Chamwino MC) as a whole itakuwa na Wakaazi more than 1 million.
Kwa Sasa Kuna kata kibao ziko Nje ya Mipaka ya Jiji lakini generally ziko Jijini kama Chamwino yenyewe,makulu nk.
Mwanza mpo? Kumbuka population ya Dom Ina purchasing power kubwa sio sawa na wale watu wenu maskini.View attachment 2590535
Dodoma kwa hili wameupiga mwingi, sijui lini na sisi tutapata mradi kama huu, tunaitaji dual carriage barabara hata moja ya kenyatta kwa kipindi hiki.Mwanza wanaumia wakiona hivi ππ
Nipo dodoma kwa vacation, hili jiji la dodoma linakimbia sio poa, lakini kwa Mwanza bado ni watoto wadogo, japo wamejitaid sn kwenye barabara za lami na usafi wa miji, niliacha mitaa ya ilazo haina lami yaan kulikuwa na vumbi sio poa, mji umetanuka wakati zaman martin Luther school ilikuwa imezungukwa na mapori.Mwanza wanatafuta pa kutokea Kila wakiona Dom inavyokimbia Kwa Kasi
Dodoma inakuwa sana tena sana kwa kasi yake hakika inatishia miji mikubwa hapa EA.
N.B serikali tunawaomba muiangalie Mwanza nayo inastahili kupata miradi mikubwa ya barabara na miundombinu ya kisasa kama ilivyo Dar na Dodoma.
Jamaa Yako hapo Juu anabishana sijui na figures au ikoje..Dodoma kufikisha watu milioni isahau ... tayari imeshafikia kwenye peak ... growth rate inaanza kudrop
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma haijawahi kuwa zaidi ya arusha mwaka 2012Jamaa Yako hapo Juu anabishana sijui na figures au ikoje..
Growth rate ya Dom ni 3.9 hata ukisema itashuka labda iwe kwenye average ya Taifa ya 3.2 Bado ukifnya calculations baad ya miaka 10 Yani by 2032 Dom itakuwa na Population ya zaidi ya 1M..
Sasa huyo anayesema imefika peak sijui peak gani maana Dodoma imekuwa ni Miji Mikubwa kitambo,Toka 2012 ilikuwa zaidi ya Mbeya na Arusha ikiwa na watu zaidi ya 400k na hapo Serikali ilikuwa ni kama Haina Mpango wa kuhamia..
Sasa baada ya kuwa rasmi Makao Makuu ya Serikali ndio itazidi kukua zaidi..
View attachment 2592449
Ni aibu Kwa Mwanza Kulingishia vijumba ambavyo hata Manyoni vipo..Wapi nzuguni [emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 2594485View attachment 2594487
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii safi na ni ishara ya kuwa Dodoma sasa rasmi inaenda kuwa na mamlaka kamili kama makao makuu ya nchi na shughuli zote za kiserikali na kijeshi ziko centred hapo soon Dar itabakia kama Mwanza tu.