Jamaa Yako hapo Juu anabishana sijui na figures au ikoje..
Growth rate ya Dom ni 3.9 hata ukisema itashuka labda iwe kwenye average ya Taifa ya 3.2 Bado ukifnya calculations baad ya miaka 10 Yani by 2032 Dom itakuwa na Population ya zaidi ya 1M..
Sasa huyo anayesema imefika peak sijui peak gani maana Dodoma imekuwa ni Miji Mikubwa kitambo,Toka 2012 ilikuwa zaidi ya Mbeya na Arusha ikiwa na watu zaidi ya 400k na hapo Serikali ilikuwa ni kama Haina Mpango wa kuhamia..
Sasa baada ya kuwa rasmi Makao Makuu ya Serikali ndio itazidi kukua zaidi..
View attachment 2592449