ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mwanza haijengwi na Serikali sisi tuna Jenga wenyewe Kwa private sector π€£π€£π€£
Nyie mnako ...???Mwanza haijengwi na Serikali sisi tuna Jenga wenyewe Kwa private sector [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imagine Jiji linajivunia kajengo ka ghorofa 6 [emoji38][emoji38]
Duh kumbe ghorofa 6, Arusha wamejenga 10FloorsMwanza haijengwi na Serikali sisi tuna Jenga wenyewe Kwa private sector [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imagine Jiji linajivunia kajengo ka ghorofa 6 [emoji38][emoji38]
Bora umejengewa floor 3 zenye design nzuri kuliko .ule upuuzi mliojengewa ArushaDuh kumbe ghorofa 6, Arusha wamejenga 10Floors
Dom yamejaa na wewe unajuaNyie mnako ...???
Hizo ofisi za mtumba [emoji15][emoji16][emoji15]Dom yamejaa na wewe unajua
Hapan bro wanangalia na potential na design ya mji..Arusha mji wake Majengo mengi marefu kwo lazima wajeng marefuBora umejengewa floor 3 zenye design nzuri kuliko .ule upuuzi mliojengewa Arusha
Jiji linatakiwa kuwa namna hii,makazi Yana space na well organized sio matakataka na madampo ya huko kwenu Mwanza.Hizo ofisi za mtumba [emoji15][emoji16][emoji15]
Mwanza nzima hakuna Hoteli Kali kama hii hapa πNyie mnako ...???
Dwarf building ndio majengo marefu... tanzania nzima Kuna majengo marefu matano tu ..aka mitungis .. vingine hv ni vifloor Vingi [emoji16][emoji16]Hapan bro wanangalia na potential na design ya mji..Arusha mji wake Majengo mengi marefu kwo lazima wajeng marefu
Hapan bro wanangalia na potential na design ya mji..Arusha mji wake Majengo mengi marefu kwo lazima wajeng marefu
Huu ni ujinga yaani ka gorofa 6 ndio imekuwa kama wimbo? Acheni upimbi nyie washamba
Sisi tuna maji πππDwarf building ndio majengo marefu... tanzania nzima Kuna majengo marefu matano tu ..aka mitungis .. vingine hv ni vifloor Vingi [emoji16][emoji16]
Hii nayo ni hotel sasa??!Sisi hatutegemei Serikali
Sio Hoteli ni geto lakoHii nayo ni hotel sasa??!