Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kama mji wako haupo hapa , kojoa ukalale [emoji23]
FB_IMG_1689866088632.jpg
 
Hapan bro wanangalia na potential na design ya mji..Arusha mji wake Majengo mengi marefu kwo lazima wajeng marefu
Dwarf building ndio majengo marefu... tanzania nzima Kuna majengo marefu matano tu ..aka mitungis .. vingine hv ni vifloor Vingi [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom