Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hiyo CBD ya dodoma bila ushabiki haiwezi kutoboa kwa Iringa CBD hata kidogo, dodoma bila majengo ya wizara na taasisi ni kama handeni Tanga.
Toka umefika Iringa umesahau kwenu Kwimba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dom ni zaidi ya CBD kama tuu Mbeya
 
Mara ya mwisho kwenda Dodoma ni mwaka 80 na ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…