Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Sasa Mimi nalaumiwa Kwa lipi? Hao ni Tamisemi 🀣🀣

View: https://www.instagram.com/p/CxV_qpjNWdL/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Waweke na percentage....kama vijana wanaona dada zao na kaka zao wana degree na wanaishi kama ngedere, wanaona jinsi li elimu la nchi hii lisivyokuwa na tija, pia waona miaka yao itaisha bure wakiwa shuleni wakaona wajiongeze either kwa kuolewa kuliko kuishi kama dada zao waluofika chuoni na kuishia kuwa wadangaji, kaka zao wanashindana kupaka poda na kushikilia remote za tv, acha wapambane maisha ni haya haya wanaweza kupata moja na mbili kuliko kukosa kabisa na miaka inaenda, kama umenielewa sawa usiponielewa najua kilaza kama wewe ni vigumu kunielewa.
 
Endeleeni kuongeza idadi ya wapiga kura wa ccm 😁😁
 
Endeleeni kuongeza idadi ya wapiga kura wa ccm 😁😁
Kati ya Mwanza na huko kwenu mashambani wapi kuna wapiga kura wa ccm, acha vijana waolewe na wengine waingie migodini kutafuta moja na mbili wakipata ndio hao wakina msukuma wabadae, nyie endeleeni kusoma logarithm na historia za mali, songhai na ghana empire ambazo hazina msaada wowote.
 
Kanda ya Ziwa ndio Ina mbumbumbu wengi.

Back to topic Dom ileeee

View: https://youtu.be/KNxrV6PFU2I?si=IHk8pgqMvuLWhPzk
 
Kwamba Hujui kuwa Moshi Kuna viwanda vya Magari?! Au hujui kuwa Arusha Kuna viwanda vya Magari hivi Yale Magari ya Tours unajuaga yanakopimpiwa?! Na sasaivi kuna Magari ya Umeme unajua yanatengenezwa wapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ati kahama?? Hv kwann huwa watu wana-overrate hichi kijiji kilichoc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…