Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Waweke na percentage....kama vijana wanaona dada zao na kaka zao wana degree na wanaishi kama ngedere, wanaona jinsi li elimu la nchi hii lisivyokuwa na tija, pia waona miaka yao itaisha bure wakiwa shuleni wakaona wajiongeze either kwa kuolewa kuliko kuishi kama dada zao waluofika chuoni na kuishia kuwa wadangaji, kaka zao wanashindana kupaka poda na kushikilia remote za tv, acha wapambane maisha ni haya haya wanaweza kupata moja na mbili kuliko kukosa kabisa na miaka inaenda, kama umenielewa sawa usiponielewa najua kilaza kama wewe ni vigumu kunielewa.
 
Endeleeni kuongeza idadi ya wapiga kura wa ccm 😁😁
 
Kati ya Mwanza na huko kwenu mashambani wapi kuna wapiga kura wa ccm, acha vijana waolewe na wengine waingie migodini kutafuta moja na mbili wakipata ndio hao wakina msukuma wabadae, nyie endeleeni kusoma logarithm na historia za mali, songhai na ghana empire ambazo hazina msaada wowote.
 
Kanda ya Ziwa ndio Ina mbumbumbu wengi.

Back to topic Dom ileeee

View: https://youtu.be/KNxrV6PFU2I?si=IHk8pgqMvuLWhPzk
 
Acha matusi bhana na ubishi usio kuwa na tija! Hivi huko Kilimanjaro na Arusha mna viwanda vya magari? Mbona hata kwenye biashara mnazofanya hata Wasukuma wanafanya! Kwenu mna mji mmoja tu wa kibiashra ni Arusha wakati Kanda ya ziwa ina mji mikubwa ya kibiashara kama Mwanza na Kahama na wengi wawekezaji ni hao unaowaita kichwani zero!
Wewe hujawahi kuwa serous na maisha mtu yeyote mpambanaji chi hii hawezi kubeza upambanaji wa Wasukuma!
Kwamba Hujui kuwa Moshi Kuna viwanda vya Magari?! Au hujui kuwa Arusha Kuna viwanda vya Magari hivi Yale Magari ya Tours unajuaga yanakopimpiwa?! Na sasaivi kuna Magari ya Umeme unajua yanatengenezwa wapi?
 
TMDA ..lake zone
dalali_peter_mwanzatz_242809836_980788245831807_1538807231181842071_n.jpg

TMDA Mwanza
 
Back
Top Bottom