Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Jnamuuliza nani wamejenga vingapi kwani wewe hujui kusoma?
 
Jnamuuliza nani wamejenga vingapi kwani wewe hujui kusoma?
Naona usanii tu japo hawajataja ni vingapi watajenga na wanakarabati vivuko vingapi na vivuko gani? Na gharama kwa kila kivuko ni shilingi ngapi? Hiyo nguvu ya mavivuko muipekeke na kwenye ujenzi wa barabara muhimu ya kenyatta hapo ndio tutaona kweli mpo serious na kutuinua.
 
Wewe ni kenge,wameandika Juu hapo vivuko 4 unasema hawajataja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…