Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mkuu mbona unanilazimisha nikubali bilion 67 zimetumika kwenye tuvivuko, je wamejenga vingapi? Na je thamani ya hiyo pesa inaenda na hivyo vivuko?

Au mnataka kujifichia kwenye mavivuko baada ya kuona hakuna mambo ya msingi mlioyafanya mwanza kwa hawamu hii.
Jnamuuliza nani wamejenga vingapi kwani wewe hujui kusoma?
 
Naona usanii tu japo hawajataja ni vingapi watajenga na wanakarabati vivuko vingapi na vivuko gani? Na gharama kwa kila kivuko ni shilingi ngapi? Hiyo nguvu ya mavivuko muipekeke na kwenye ujenzi wa barabara muhimu ya kenyatta hapo ndio tutaona kweli mpo serious na kutuinua.
 
Wewe ni kenge,wameandika Juu hapo vivuko 4 unasema hawajataja
 
Back
Top Bottom