Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?


Picha za ujenzi ziko wapi?

Hayo mashimo ndipo nguzo zinaendelea kusukwa kwa nondo then zege,,

Wameanzia maeneo ya mkuyuni wanasogea kuelekea mjini kati steshen,,
Ulizia mtu anaetoka mwanza atakwambia,, au tumia google map utaona kazi inaendelea.
Simu nilionayo haipigi picha vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…