Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Waache unafiki hizo barabara wanatudanganyia tu hakuna chochote ingekuwa Dar au dodoma hapo wangetekeleza lakini sio huku kanda ya ziwa.
Barabara zote zitajengwa ila sio Kwa Kasi kama ya Dar na Dom.

Sasa wakijenga zote at once si mtakosa kipya Cha kuonesha Kwa wapiga kura?

Ndio maana ukiona hapo Kuna miradi inaenda kuanza soon kama hiyo ya igombe-Airport, Hungumalwa-Ngudu-Magu ila hizo njia 4 subirieni baada ya uchaguzi wa 2025.

Hizo zitakuwa ni za Kugombea kura 2030.
 
Ila barabara ya Kenyatta wanaweza kupiga njia nne as soon as possible, hiyo ndio lango kuu la jiji kutoka Dar na mikoa jirani na nchi za Rwanda, burundi, uganda na congo.
 
Labda kwenye Bajeti ya 2024/2025 itakayosomwa kuanzia June but utekelezwaji wake utaanza 2025 kabla au baada ya June 2025 Ili Wakati wa kampeni Magreda yawepo site.
 
Hii uhakika, wanaleta maendeleo mikoa ya kusini na kanda ya ziwa uchaguzi ukiisha wanaamia Pwani na kaskazini..hii nchi ngumu sana.
 
Shida ni kamba uchaguzi ukiisha miradi Huwa inabakia kusia sua maana pressure imekwisha.
 
Boya wewe ,umeambiwa mwisho wa mwezi mkataba utasainiwa
Me boya ukisainiwa, ujenzi utaanza lini, ikiwemo manunuzi, na tunaambiwa kufika mwezi nov 2024 jengo litakuwa tayari, does it make sense? Na je watakamilisha lililopo au watajenga jipya? Mbona haya mambo ni kama TRAT na TRAB
 
Wanajenga jengo jipya na probably Hilo kinaweza badilishwa dizaini.
 
Kwanini ilo jengo la TRA wanalotaka kujenga huko mbanano city kwanini lisiwekwe Dodoma, hii nchi imejaa majuha, tunataka ilo li scrapper la TRA liwekwe makao makuu ya nchi tumechoka kubabanishwa huko Dar....hii nchi ngumu sana.
 
Back
Top Bottom