Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Alivyofariki ndio lilikwama hapo toka 2021 alipoingia Samia.
Toa upuuzi hapa, ujenzi ulisimama siku nyingi sana Kwa sababu ya kujengwa chini ya kiwango na pia watu walipiga pesa kubwa kuliko stage ya ujenzi na wote waliufyata.

Fuatilia ziara za Wakuu wa Mikoa na Mawaziri hapo na wakikuta madudu wanaufyata inawezekana kabisa mkandarasi alikuwa ni Mayanga Construction
 
Ilo jengo liliendelea hata baada ya mwendazake kufariki lakini lilistop mwaka 2021 mwishoni, japo ilo jengo napenda lifanywe supermarket au sehemu ya ukumbi ya cinema, wajenge jengo lingine lenye hadhi ya international airport.
 
Malizeni Sasa mumeghairi nini si mtakuwa mnatunzia dagaa au?
 
Only in Mwanza
GBIH15oXwAAGXFL.jpg
GA1LvUhWQAANbvL.jpg
 
Back
Top Bottom