Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya hapa kumejaa takataka 😁😁Mikdde waongeze na hii ya mitaa ya rufiji, uhuru na lumumba kwa mbali
View attachment 2843382View attachment 2843383View attachment 2843384
Mwanza haiwezi kuicheka Mbeya ni slums everywhere.North neighborhood..(makongoro road ,,isamilo and ilemela municipal)View attachment 2843176
Kwa maghorofa Gani yaliyopo mbeya... iringa is far better than mbeya ........Mwanza haiwezi kuicheka Mbeya ni slums everywhere.
Kinachowafariji ni huyo tugorofa CIty centre.
Kilicho ikost Mbeya ni kuingia Kwa soko la Uhindini watu wakakimbilia Mwanjelwa ambayo haikuwa imepangwa na kuandaliwa kuwa CBD wakajenga hivyo hivyo but magoroga yote yangekuwa sehemu Moja ingekuwa na skyline kama ya Mwanza tuu.
Far better Kwa lipi Sasa? Hata idadi ya sensa hujui kusoma au? Narudia kukwambia isingekuwa kuungua Kwa soko la Uhindini ambako kulipangwa kuwa CBD,magoroga yote yaliyojengwa Kando ya Barabara yangekuwa Mjini kule na skyline ingependeza sana.Kwa maghorofa Gani yaliyopo mbeya... iringa is far better than mbeya ........
Mwisho mji wenye slum nyingi Tanzania ni dar...inafta mbeya ,, mwanza na Arusha zinakuja then Tanga na dodoma..
Kaunguze na Mwanza iwe droo ngoma...Far better Kwa lipi Sasa? Hata idadi ya sensa hujui kusoma au? Narudia kukwambia isingekuwa kuungua Kwa soko la Uhindini ambako kulipangwa kuwa CBD,magoroga yote yaliyojengwa Kando ya Barabara yangekuwa Mjini kule na skyline ingependeza sana.
Mwanza hata mkiunguziwa soko hakuna njia iliyopo busy sana mtasalia huko huko Mjini.Kaunguze na Mwanza iwe droo ngoma...
Baada ya kuungua kwa soko la Uhindini na magorofa nayo yakaungua? Wewe acha kujifariji Mbeya ni kama Nyegezi tu! Mwanza imeiacha Mbeya mbali sana na hamna ndoto za kufika hata Mwanza ilipo kwa sasa! Mji wenu unazidiwa gorofa mpaka na Morogoro au Iringa! Mpangilio hamna hata nyumba za maana mtaani ni chache sana!Far better Kwa lipi Sasa? Hata idadi ya sensa hujui kusoma au? Narudia kukwambia isingekuwa kuungua Kwa soko la Uhindini ambako kulipangwa kuwa CBD,magoroga yote yaliyojengwa Kando ya Barabara yangekuwa Mjini kule na skyline ingependeza sana.
Unajua huyu bwana yeye huwa anavita kali sana na Mwanza! Ila asichojua kuwa Mwanza ni center ya Africa mashariki na maziwa makuu! Hakuna namna hata iweje eti Mbeya itakuja kuizidi Mwanza kimaendeleo!Kaunguze na Mwanza iwe droo ngoma...
We fala kweli hata huelewi.Hayakuungua Sasa wapi Kumejengwa majengo mengi ya Gorofa kati ya mjini na Mwanjelwa/Tanzam road?Baada ya kuungua kwa soko la Uhindini na magorofa nayo yakaungua? Wewe acha kujifariji Mbeya ni kama Nyegezi tu! Mwanza imeiacha Mbeya mbali sana na hamna ndoto za kufika hata Mwanza ilipo kwa sasa! Mji wenu unazidiwa gorofa mpaka na Morogoro au Iringa! Mpangilio hamna hata nyumba za maana mtaani ni chache sana!
Bora kuwa fala! Ila hapo Mbeya hata gorofa sioni! Hizo gorofa tano uchwara nazo gorofa sasa!We fala kweli hata huelewi.Hayakuungua Sasa wapi Kumejengwa majengo mengi ya Gorofa kati ya mjini na Mwanjelwa/Tanzam road?
Ila kyuma Huwa unaziona si ndio? 🤣🤣Bora kuwa fala! Ila hapo Mbeya hata gorofa sioni! Hizo gorofa tano uchwara nazo gorofa sasa!
Mji wa kipumbavu kama huo hakuna mtanzania asiye wa asili ya huko anatamani kuishi!
Mbaya ni kama Dampo hamna lolote la maana hapo wewe mwenyewe unajua hilo ila kwa vile nyumbani unashupaza shingo!
Ndo hizi ghorofa za barabara kuu mwanjelwa unazozitaja [emoji2]Ila kyuma Huwa unaziona si ndio? [emoji1787][emoji1787]View attachment 2843846View attachment 2843847
Nyegezi tu Inakua kuliko mbeya CBD ..Sasa hapo ndo nini? Ni ujinga ujinga tu!
Na Mwanza wakisema wachukue maghorofa ya kirumba, Nyegezi, Buzuruga, Ilemela, bwiru na Capripoint yote wakayaweka Kwenye CBD we unazani pangekuwaje?Far better Kwa lipi Sasa? Hata idadi ya sensa hujui kusoma au? Narudia kukwambia isingekuwa kuungua Kwa soko la Uhindini ambako kulipangwa kuwa CBD,magoroga yote yaliyojengwa Kando ya Barabara yangekuwa Mjini kule na skyline ingependeza sana.
Mjini kati hakuna nafasi ndio maana wameenda huko tofauti na Mbeya kule space ziko emptyNa Mwanza wakisema wachukue maghorofa ya kirumba, Nyegezi, Buzuruga, Ilemela, bwiru na Capripoint yote wakayaweka Kwenye CBD we unazani pangekuwaje?
Mzee wa excusesMjini kati hakuna nafasi ndio maana wameenda huko tofauti na Mbeya kule space ziko empty
Hilo jamaa jinga kabisa sasa hapo na Nyegezi si hakuna tofauti tena nyegezi kwa maoni yangu ni pazuri!Ndo hizi ghorofa za barabara kuu mwanjelwa unazozitaja [emoji2]View attachment 2843891
Mwanza is Slum imesalia inajilinhanisha na Mbeya tuu.Hilo jamaa jinga kabisa sasa hapo na Nyegezi si hakuna tofauti tena nyegezi kwa maoni yangu ni pazuri!