Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mbeya hatujajenga Stand Mpya na haitakuwa mbaya kama hayo magodown yenu.
20240105_134819.jpg
 
masare vipi na hili lipo bukoba ,na musoma ...
The natural iconic land mark [emoji91][emoji91][emoji91]
20240106_191619.jpg
 
View attachment 2863986
Suala la uzuri wa sehemu huamuliwa na natural scenes...dodoma ni mji ambao unakosa natural taste ,,na ndio maana sio favorite place for vacation..yaani mfano unaenda dodoma kupumzika nini au kuona nini mfano ...Arusha nitaenda kuona mlima Meru na mbuga za wanyama,.dar nitaenda kuona fukwe za coco beach ,,Tanga nitaona bahari na mapango ya amboni ... mwanza nitaona miamba na ziwa lenye upepo mzuri...mbeya nitaona ziwa ngosi na mlima nyoka ... DODOMA NITAENDA KUONA NATURE GANI ⛹️😃😃
Poor you....eti nature Windhoek,Johannesburg,Pretoria kuna natural feature gani yoyote 😀😀
Je kuna mji wowote East Africa unaogusa hata robo huko kwa ubora wa mpangilio wa hayo majiji
 
Poor you....eti nature Windhoek,Johannesburg,Pretoria kuna natural feature gani yoyote [emoji3][emoji3]
Je kuna mji wowote East Africa unaogusa hata robo huko kwa ubora wa mpangilio wa hayo majiji
Hiv ukitumwa mji uliopangwa utapeleka dodoma...ebu toa comedy zako ....Windhoek Kuna Namib desert where sand meet oceans ...johanseburg na Pretoria Kuna jacaranda green vegetation.... dodoma mna nini machaka au [emoji2][emoji2][emoji2]
Mwanza
20240106_213727.jpg
20240106_213433.jpg
20231231_091854.jpg
 
Hiv ukitumwa mji uliopangwa utapeleka dodoma...ebu toa comedy zako ....Windhoek Kuna Namib desert where sand meet oceans ...johanseburg na Pretoria Kuna jacaranda green vegetation.... dodoma mna nini machaka au [emoji2][emoji2][emoji2]
Mwanza View attachment 2864060View attachment 2864061View attachment 2864062
Huwa nakushangaa sana unapojiitaga graduate😀😀😀 alafu hujui hata simple geography eti Windhoek kuna Namib desert wakati kutoka Windhoek hadi kufika Namib desert ni umbali wa zaidi ya kilometres 340....yaani umeshindwa hata kugoogle
 
Hiv ukitumwa mji uliopangwa utapeleka dodoma...ebu toa comedy zako ....Windhoek Kuna Namib desert where sand meet oceans ...johanseburg na Pretoria Kuna jacaranda green vegetation.... dodoma mna nini machaka au [emoji2][emoji2][emoji2]
Mwanza View attachment 2864060View attachment 2864061View attachment 2864062
Zaidi ya Ziwa Victoria hamna jipya...ndiomana pichazote unakwepa kuonesha vijumba vilivyojengwa bila mpangilio kule milimani ambapo hakuna umeme zaidi ya vibanda vya uswahilini vinavyotumia solar
 
Eti hakuna umeme . ...hamna jiji lisilo na slum hata Nairobi zipo...
GAg-j2XWoAAzQpd.jpg
 
Zaidi ya Ziwa Victoria hamna jipya...ndiomana pichazote unakwepa kuonesha vijumba vilivyojengwa bila mpangilio kule milimani ambapo hakuna umeme zaidi ya vibanda vya uswahilini vinavyotumia solar
Sawa sisi tunajuvunia ziwa nyie mnajivunia nini
 
Kigoma,Musoma,Mbamba Bay,Bukoba ni baadhi ya miji iliyozungukwa na maziwa....Je umewahi kuona wapi wakijivunia kitu ambacho ni natural feature au wakijaribu kujilinganisha na Jiji la Dodoma....Jiji pekee lililopangwa(man made feature),kupangiliwa(skyline),kupimwa+ubora wa miundombinu+ubora wa mipango miji+ubora wa huduma za kijamii+uwepo wa taasisi nyingi+makao makuu ya Serikali,Bunge,Mahakama
 
Kila siku unasema ubora wa mipango miji ...lakin unashindwa kuleta hata picha kuonyesha ubora huo
IMG-20240104-WA0003.jpg
IMG-20231229-WA0007.jpg
IMG-20231228-WA0002.jpg
 
Kumbe picha ndio zinaonesha ubora wa mipangomiji[emoji3][emoji3]....ulisema umewahi kufika Dom City vp kuna mji wowote Tanzania hii uliopangiliwa vizuri kama Dodoma
Dodoma nimekaa Kwa miaka takribani minne ....naijua vizuri...ni uchafu tu
 
Kigoma,Musoma,Mbamba Bay,Bukoba ni baadhi ya miji iliyozungukwa na maziwa....Je umewahi kuona wapi wakijivunia kitu ambacho ni natural feature au wakijaribu kujilinganisha na Jiji la Dodoma....Jiji pekee lililopangwa(man made feature),kupangiliwa(skyline),kupimwa+ubora wa miundombinu+ubora wa mipango miji+ubora wa huduma za kijamii+uwepo wa taasisi nyingi+makao makuu ya Serikali,Bunge,Mahakama
Hawana akili na ni wachafu sana hao ndugu zako 🤣🤣

View: https://twitter.com/NuktaTanzania/status/1744747251367309775?t=3QWtWdM6jnYqqHwzRw3NOw&s=19
 
Back
Top Bottom