Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Mbeya hatujajenga Stand Mpya na haitakuwa mbaya kama hayo magodown yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya hatujajenga Stand Mpya na haitakuwa mbaya kama hayo magodown yenu.
Poor you....eti nature Windhoek,Johannesburg,Pretoria kuna natural feature gani yoyote 😀😀View attachment 2863986
Suala la uzuri wa sehemu huamuliwa na natural scenes...dodoma ni mji ambao unakosa natural taste ,,na ndio maana sio favorite place for vacation..yaani mfano unaenda dodoma kupumzika nini au kuona nini mfano ...Arusha nitaenda kuona mlima Meru na mbuga za wanyama,.dar nitaenda kuona fukwe za coco beach ,,Tanga nitaona bahari na mapango ya amboni ... mwanza nitaona miamba na ziwa lenye upepo mzuri...mbeya nitaona ziwa ngosi na mlima nyoka ... DODOMA NITAENDA KUONA NATURE GANI ⛹️😃😃
Hiv ukitumwa mji uliopangwa utapeleka dodoma...ebu toa comedy zako ....Windhoek Kuna Namib desert where sand meet oceans ...johanseburg na Pretoria Kuna jacaranda green vegetation.... dodoma mna nini machaka au [emoji2][emoji2][emoji2]Poor you....eti nature Windhoek,Johannesburg,Pretoria kuna natural feature gani yoyote [emoji3][emoji3]
Je kuna mji wowote East Africa unaogusa hata robo huko kwa ubora wa mpangilio wa hayo majiji
Huwa nakushangaa sana unapojiitaga graduate😀😀😀 alafu hujui hata simple geography eti Windhoek kuna Namib desert wakati kutoka Windhoek hadi kufika Namib desert ni umbali wa zaidi ya kilometres 340....yaani umeshindwa hata kugoogleHiv ukitumwa mji uliopangwa utapeleka dodoma...ebu toa comedy zako ....Windhoek Kuna Namib desert where sand meet oceans ...johanseburg na Pretoria Kuna jacaranda green vegetation.... dodoma mna nini machaka au [emoji2][emoji2][emoji2]
Mwanza View attachment 2864060View attachment 2864061View attachment 2864062
Zaidi ya Ziwa Victoria hamna jipya...ndiomana pichazote unakwepa kuonesha vijumba vilivyojengwa bila mpangilio kule milimani ambapo hakuna umeme zaidi ya vibanda vya uswahilini vinavyotumia solarHiv ukitumwa mji uliopangwa utapeleka dodoma...ebu toa comedy zako ....Windhoek Kuna Namib desert where sand meet oceans ...johanseburg na Pretoria Kuna jacaranda green vegetation.... dodoma mna nini machaka au [emoji2][emoji2][emoji2]
Mwanza View attachment 2864060View attachment 2864061View attachment 2864062
Eti hakuna umeme . ...hamna jiji lisilo na slum hata Nairobi zipo...Zaidi ya Ziwa Victoria hamna jipya...ndiomana pichazote unakwepa kuonesha vijumba vilivyojengwa bila mpangilio kule milimani ambapo hakuna umeme zaidi ya vibanda vya uswahilini vinavyotumia solar
Sawa sisi tunajuvunia ziwa nyie mnajivunia niniZaidi ya Ziwa Victoria hamna jipya...ndiomana pichazote unakwepa kuonesha vijumba vilivyojengwa bila mpangilio kule milimani ambapo hakuna umeme zaidi ya vibanda vya uswahilini vinavyotumia solar
Kigoma,Musoma,Mbamba Bay,Bukoba ni baadhi ya miji iliyozungukwa na maziwa....Je umewahi kuona wapi wakijivunia kitu ambacho ni natural feature au wakijaribu kujilinganisha na Jiji la Dodoma....Jiji pekee lililopangwa(man made feature),kupangiliwa(skyline),kupimwa+ubora wa miundombinu+ubora wa mipango miji+ubora wa huduma za kijamii+uwepo wa taasisi nyingi+makao makuu ya Serikali,Bunge,MahakamaSawa sisi tunajuvunia ziwa nyie mnajivunia nini
Kila siku unasema ubora wa mipango miji ...lakin unashindwa kuleta hata picha kuonyesha ubora huoKigoma,Musoma,Mbamba Bay,Bukoba ni baadhi ya miji iliyozungukwa na maziwa....Je umewahi kuona wapi wakijivunia kitu ambacho ni natural feature au wakijaribu kujilinganisha na Jiji la Dodoma....Jiji pekee lililopangwa(man made feature),kupangiliwa(skyline),kupimwa+ubora wa miundombinu+ubora wa mipango miji+ubora wa huduma za kijamii+uwepo wa taasisi nyingi+makao makuu ya Serikali,Bunge,Mahakama
Kumbe picha ndio zinaonesha ubora wa mipangomiji😀😀....ulisema umewahi kufika Dom City vp kuna mji wowote Tanzania hii uliopangiliwa vizuri kama DodomaKila siku unasema ubora wa mipango miji ...lakin unashindwa kuleta hata picha kuonyesha ubora huoView attachment 2864223View attachment 2864227View attachment 2864231
Dodoma nimekaa Kwa miaka takribani minne ....naijua vizuri...ni uchafu tuKumbe picha ndio zinaonesha ubora wa mipangomiji[emoji3][emoji3]....ulisema umewahi kufika Dom City vp kuna mji wowote Tanzania hii uliopangiliwa vizuri kama Dodoma
Ndejengwa Samia Housing Scheme Mbioni Kuanza 🔥🔥Dodoma nimekaa Kwa miaka takribani minne ....naijua vizuri...ni uchafu tu
Unajitoa ufahamu si ndio? 😂😂Kila siku unasema ubora wa mipango miji ...lakin unashindwa kuleta hata picha kuonyesha ubora huoView attachment 2864223View attachment 2864227View attachment 2864231
Hawana akili na ni wachafu sana hao ndugu zako 🤣🤣Kigoma,Musoma,Mbamba Bay,Bukoba ni baadhi ya miji iliyozungukwa na maziwa....Je umewahi kuona wapi wakijivunia kitu ambacho ni natural feature au wakijaribu kujilinganisha na Jiji la Dodoma....Jiji pekee lililopangwa(man made feature),kupangiliwa(skyline),kupimwa+ubora wa miundombinu+ubora wa mipango miji+ubora wa huduma za kijamii+uwepo wa taasisi nyingi+makao makuu ya Serikali,Bunge,Mahakama