Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Nansio,Bukoba ,Musoma n.k. hii kitu ipo pia hakuna cha ajabu hapo...kilasiku tunawaambia natural features kama maziwa,bahari,milima,mabonde sio vigezo vya kupima ubora wa mji tunataka man made features kwa mfano ubora wa miundombinu,mipango miji,skyline,uwepo wa taasisi nyingi n.k Mwanza mnajifariji kwenye kichaka cha uwepo wa Ziwa Victoria wakati mipangomiji ni F kabisa 😀😀
 
Kwanza ni bottloneck 😆😆
 
IMG_20240104_134100.jpg
IMG_20240104_134042.jpg

Mbingu na ardhi
 
Nansio,Bukoba ,Musoma n.k. hii kitu ipo pia hakuna cha ajabu hapo...kilasiku tunawaambia natural features kama maziwa,bahari,milima,mabonde sio vigezo vya kupima ubora wa mji tunataka man made features kwa mfano ubora wa miundombinu,mipango miji,skyline,uwepo wa taasisi nyingi n.k Mwanza mnajifariji kwenye kichaka cha uwepo wa Ziwa Victoria wakati mipangomiji ni F kabisa 😀😀
20240104_095640.jpg

Suala la uzuri wa sehemu huamuliwa na natural scenes...dodoma ni mji ambao unakosa natural taste ,,na ndio maana sio favorite place for vacation..yaani mfano unaenda dodoma kupumzika nini au kuona nini mfano ...Arusha nitaenda kuona mlima Meru na mbuga za wanyama,.dar nitaenda kuona fukwe za coco beach ,,Tanga nitaona bahari na mapango ya amboni ... mwanza nitaona miamba na ziwa lenye upepo mzuri...mbeya nitaona ziwa ngosi na mlima nyoka ... DODOMA NITAENDA KUONA NATURE GANI ⛹️😃😃
 
Back
Top Bottom