Mwanza Kaeni mkao wa kupitwa na Dodoma
View: https://www.instagram.com/p/C17Un9wKilX/?igsh=bmRjeHFxb3o1YXJi
Wewe adui yako mkubwa ni Mwanza! Ladala ya kuhangaika na mji wako duni wa Mbeya unahangaika na mji wa Mwanza ambao tayari unafurure nzuri kuliko Mbeya! Hiyo dodoma inabebwa na ujenzi wa taasisi za kiserkali subiri ujenzi uishe ndo utajua kumbe maendeleo yanaletwa na uwekezaji wa wanachi!
Unaionaje madhari hiyo ya jiji la Mwanza? Huko Dodoma wana mandhari hiyo ? Mwanza inajibeba yenyewe haihitaji mbeleko ya serkali! Mda ukifika serkali ikaona kuna umuhumu wa kuwekeza Mwanza miradi hakuna tatizo ila Mwanza wataikuta inasonga mbele bila kusubiri hisani ya watu wa mamlaka!
Mbeya ya Dodoma endeleeni kusubiria serkali kuwajengea miji yenu!