Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wewe adui yako mkubwa ni Mwanza! Ladala ya kuhangaika na mji wako duni wa Mbeya unahangaika na mji wa Mwanza ambao tayari unafurure nzuri kuliko Mbeya! Hiyo dodoma inabebwa na ujenzi wa taasisi za kiserkali subiri ujenzi uishe ndo utajua kumbe maendeleo yanaletwa na uwekezaji wa wanachi!

Unaionaje madhari hiyo ya jiji la Mwanza? Huko Dodoma wana mandhari hiyo ? Mwanza inajibeba yenyewe haihitaji mbeleko ya serkali! Mda ukifika serkali ikaona kuna umuhumu wa kuwekeza Mwanza miradi hakuna tatizo ila Mwanza wataikuta inasonga mbele bila kusubiri hisani ya watu wa mamlaka!

Mbeya ya Dodoma endeleeni kusubiria serkali kuwajengea miji yenu!
1704954144753.png
 
View attachment 2868058
Umesoma hiyo taarifa ya Madini au unajitoa ufahamu? 😂😂

Future ipi iliyonayo Mwanza kushinda Dodoma na Mbeya?

Kwa mfano Dodoma inatajwa kuongoza kuwa na aina nyingi za Madini hapa Tanzania as Kwa data za Sasa,na hapa unajifanya hujaona Ili kujifariji 😂😂

Dodoma Ina Ardhi kubwa kushinda Mwanza na wewe unajua kwamba Irrigation scheme kubwa ziko on pipeline Mwanza

Dodoma ndio hiyo ni Makao Makuu ya Nchi, Population Kwa Sasa karibu sawa na Mwanza.

Kiufupi Hali ni tete Kwa Mwanza.

Ukija Kwa Mbeya ,ni hivyo hivyo ukiacha idadi ya watu mengine yote Yako favorable Kwa Mbeya kushinda Mwanza,hujiulizi Mwanza yenye watu mil.4 inachuana na Mbeya yenye watu mil 2 Kwa GDP?

Ni Suala la mda tuu lazima Mbeya & Dom iwapite Mwanza
 
Mwanza imeizidi mbeya trillion 4 kwenye GDP unasema wanachuana kivipi
 
GDP gani unazungumzia? Yaani Mbeya imeshindwa miaka yote kuwa na GDP kubwa kuizidi Mwanza itawezaje saizi? Maana Mwanza ina Nyanzaga mine inakuja kuanza soon!

Iwe kibiashara Mwanza iko juu ya Mbeya au wewe unatishiwa na malori yanayopita mjini hapo yanakuzuzua? Hakuna future yeyote kwa Mbeya zaidi ya kutiana moyo tu!

Upanuzi wa barabara ya Mbeya Tunduma ukifanikiwa kuisha na wala sio leo maana unajua kabisa utawala ya Samia goigoi hata project zingine haziendi kasi na hiyo ndo tumaini lenu lakini kwa maeneo mengine zero bora hata ya Dodoma!
 
Malalamiko peleka dawati la Jinsia liko wazi 😂😂

Ukitoa hako kamgodi Kuna nini kingine huko Mwanza?

Mbeya Iko relatively untapped kuanzia Kilimo,Madini Hadi Utalii.Mbeya Ina Ardhi ya viwanda Mwanza mnayo?

Mara goi goi mara sijui nini yaani unahangaika sana .

Ni hivi sio tuu Barabara ya Njia 4 Bali kuna mradi mkubwa wa Umeme kutoka Mbeya kwenda Sumbawanga,

Makete kuja Mbeya

Kilimo Cha Umwagiliaji na bwawa la umeme Mto Songwe
Hapo sijataza madini ya Neobium na Rare Earth Wala Dhahabu ya Chunya.
Kwa taarifa Yako tuu Chunya sio tuu Ina Madini ila Ina Kilimo kikubwa kabisa Cha Tumbaku Tanzania nk

Hapo sijataja Mbarali ,soma hii trend ya Mapato hapa harafu linganishwa na Wilaya njaa za Mwanza 🤣🤣

View: https://www.instagram.com/p/C13jn_XN0Gr/?igsh=ZTU3dnp4bjI1ODBk
 
AngloGold wanaomiliki mgodi wa GGM wameamua kuweka ofisi hao kuu ya Kiutafiti na Utawala Dodoma.

On top of that wameanzisha utafiti mkubwa wa Dhahabu Singida,Dodoma na Shinyanga.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1746508488728018963?t=s9rJZJvRiJeLA5qXUh_n8g&s=19

My Take
Utawasikia wale haters wa Dodoma kwamba Dom Haina future 😁😁

Dom inaenda kuwa mojawapo ya Mikoa heavy weight ya Uchumi Tanzania Kwa miaka ijayo.

View: https://www.instagram.com/p/C2HTjFuI06t/?igsh=Y3Q5amM2MnEyZ2o3
 
Dom kama Dar tuu,Standi kibao za daladala Zinaenda kujengwa about 4.

Dom itakuwa na Stand Kuu 1 na Standi za daladala 4.

Mwanza Standi Kuu 2 mbali 😆😆
Screenshot_20240119-225403.jpg
 
Back
Top Bottom