ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hili li stand lenu empty ni libaya aisee sijui ni yule injinia Mwendazake Ali design au?Mzee wa excuses
View: https://youtu.be/xZIOA1NVpDM?si=UCw8EyUnTr7j7oBu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili li stand lenu empty ni libaya aisee sijui ni yule injinia Mwendazake Ali design au?Mzee wa excuses
Hili li stand lenu empty ni libaya aisee sijui ni yule injinia Mwendazake Ali design au?Mzee wa excuses
Nansio,Bukoba ,Musoma n.k. hii kitu ipo pia hakuna cha ajabu hapo...kilasiku tunawaambia natural features kama maziwa,bahari,milima,mabonde sio vigezo vya kupima ubora wa mji tunataka man made features kwa mfano ubora wa miundombinu,mipango miji,skyline,uwepo wa taasisi nyingi n.k Mwanza mnajifariji kwenye kichaka cha uwepo wa Ziwa Victoria wakati mipangomiji ni F kabisa 😀😀Only in Mwanza View attachment 2843145View attachment 2843146
Kwanza ni bottloneck 😆😆Nansio,Bukoba ,Musoma n.k. hii kitu ipo pia hakuna cha ajabu hapo...kilasiku tunawaambia natural features kama maziwa,bahari,milima,mabonde sio vigezo vya kupima ubora wa mji tunataka man made features kwa mfano ubora wa miundombinu,mipango miji,skyline,uwepo wa taasisi nyingi n.k Mwanza mnajifariji kwenye kichaka cha uwepo wa Ziwa Victoria wakati mipangomiji ni F kabisa 😀😀
Hili li stand lenu empty ni libaya aisee sijui ni yule injinia Mwendazake Ali design au?
View: https://youtu.be/xZIOA1NVpDM?si=UCw8EyUnTr7j7oBu
Mbeya hatujajenga Stand Mpya na haitakuwa mbaya kama hayo magodown yenu.Kuzidi la nane nane 😅😅😅 maana la nane nane sio majengo tu hadi parking zipo empty
Nansio,Bukoba ,Musoma n.k. hii kitu ipo pia hakuna cha ajabu hapo...kilasiku tunawaambia natural features kama maziwa,bahari,milima,mabonde sio vigezo vya kupima ubora wa mji tunataka man made features kwa mfano ubora wa miundombinu,mipango miji,skyline,uwepo wa taasisi nyingi n.k Mwanza mnajifariji kwenye kichaka cha uwepo wa Ziwa Victoria wakati mipangomiji ni F kabisa 😀😀