Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwanini ilo jengo la TRA wanalotaka kujenga huko mbanano city kwanini lisiwekwe Dodoma, hii nchi imejaa majuha, tunataka ilo li scrapper la TRA liwekwe makao makuu ya nchi tumechoka kubabanishwa huko Dar....hii nchi ngumu sana.
Ni jengo la Kitega uchumi Sasa Dom Kuna biashara gani za kupanga jengo kubwa kama Lile?
 
Kitombile Kwa nini jengo jipya? Kwani Lile la kwanza Lina shida gani Hadi liachwe?

View: https://www.instagram.com/p/C0yThY5tKMc/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Hapo kuna mkanganyiko mara wanajenga jipya mara wanamalizia la zamani lakini wataongeza baadhi ya miundombinu kwenye ilo godown la sasa, kama wanamalizia la sasa sioni matumizi ya hizo bilion 30, hizo ni pesa nyingi sana kwa kumalizia, na kama wanajenga jipya watalijenga sehemu gani ikiwa bado kuna majengo ya zamani na wamesema linatakiwa kukamilika august 18, kifupi ujenzi wa hilo jengo umekaa kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
 
Kitombile Kwa nini jengo jipya? Kwani Lile la kwanza Lina shida gani Hadi liachwe?

View: https://www.instagram.com/p/C0yThY5tKMc/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

IMG-20231212-WA0004.jpg
 
Jengo la zamani halina viwango vinavyostahili halina partition, lipo kama jumba la sinema, halina vitu vya msingi zaidi ya hall la kukalia watu kama wapo kwenye kikao.
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆
Bila shaka Hilo Jenga Ali design yule baba yenu Injinia Mwendazake
 
Back
Top Bottom