The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Wahini wa wapi? Lilengwa Toka akiwa Rais na likakwama at the same time ππππππ acha kumuingiza mwendazake kwenye jengo lilijengwa na wahuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahini wa wapi? Lilengwa Toka akiwa Rais na likakwama at the same time ππππππ acha kumuingiza mwendazake kwenye jengo lilijengwa na wahuni.
Alivyofariki ndio lilikwama hapo toka 2021 alipoingia Samia.Wahini wa wapi? Lilengwa Toka akiwa Rais na likakwama at the same time ππ
Toa upuuzi hapa, ujenzi ulisimama siku nyingi sana Kwa sababu ya kujengwa chini ya kiwango na pia watu walipiga pesa kubwa kuliko stage ya ujenzi na wote waliufyata.Alivyofariki ndio lilikwama hapo toka 2021 alipoingia Samia.
Ilo jengo liliendelea hata baada ya mwendazake kufariki lakini lilistop mwaka 2021 mwishoni, japo ilo jengo napenda lifanywe supermarket au sehemu ya ukumbi ya cinema, wajenge jengo lingine lenye hadhi ya international airport.Toa upuuzi hapa, ujenzi ulisimama siku nyingi sana Kwa sababu ya kujengwa chini ya kiwango na pia watu walipiga pesa kubwa kuliko stage ya ujenzi na wote waliufyata.
Fuatilia ziara za Wakuu wa Mikoa na Mawaziri hapo na wakikuta madudu wanaufyata inawezekana kabisa mkandarasi alikuwa ni Mayanga Construction
Malizeni Sasa mumeghairi nini si mtakuwa mnatunzia dagaa au?Ilo jengo liliendelea hata baada ya mwendazake kufariki lakini lilistop mwaka 2021 mwishoni, japo ilo jengo napenda lifanywe supermarket au sehemu ya ukumbi ya cinema, wajenge jengo lingine lenye hadhi ya international airport.
Tulimalizie pesa ipo wapi? Jengo ilo linafaa kugeuzwa karakana.Malizeni Sasa mumeghairi nini si mtakuwa mnatunzia dagaa au?