ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Waache unafiki hizo barabara wanatudanganyia tu hakuna chochote ingekuwa Dar au dodoma hapo wangetekeleza lakini sio huku kanda ya ziwa.Hizi zikijengwa nyie mbwa mtakuwa na mtandao mkubwa sana wa njia 4
View: https://www.instagram.com/p/CzcHatot9Fv/?igshid=MTUxMTJoZHc3dXo2NA==
Barabara zote zitajengwa ila sio Kwa Kasi kama ya Dar na Dom.Waache unafiki hizo barabara wanatudanganyia tu hakuna chochote ingekuwa Dar au dodoma hapo wangetekeleza lakini sio huku kanda ya ziwa.
Ila barabara ya Kenyatta wanaweza kupiga njia nne as soon as possible, hiyo ndio lango kuu la jiji kutoka Dar na mikoa jirani na nchi za Rwanda, burundi, uganda na congo.Barabara zote zitajengwa ila sio Kwa Kasi kama ya Dar na Dom.
Sasa wakijenga zote at once si mtakosa kipya Cha kuonesha Kwa wapiga kura?
Ndio maana ukiona hapo Kuna miradi inaenda kuanza soon kama hiyo ya igombe-Airport, Hungumalwa-Ngudu-Magu ila hizo njia 4 subirieni baada ya uchaguzi wa 2025.
Hizo zitakuwa ni za Kugombea kura 2030.
Labda kwenye Bajeti ya 2024/2025 itakayosomwa kuanzia June but utekelezwaji wake utaanza 2025 kabla au baada ya June 2025 Ili Wakati wa kampeni Magreda yawepo site.Ila barabara ya Kenyatta wanaweza kupiga njia nne as soon as possible, hiyo ndio lango kuu la jiji kutoka Dar na mikoa jirani na nchi za Rwanda, burundi, uganda na congo.
Hii uhakika, wanaleta maendeleo mikoa ya kusini na kanda ya ziwa uchaguzi ukiisha wanaamia Pwani na kaskazini..hii nchi ngumu sana.Labda kwenye Bajeti ya 2024/2025 itakayosomwa kuanzia June but utekelezwaji wake utaanza 2025 kabla au baada ya June 2025 Ili Wakati wa kampeni Magreda yawepo site.
Shida ni kamba uchaguzi ukiisha miradi Huwa inabakia kusia sua maana pressure imekwisha.Hii uhakika, wanaleta maendeleo mikoa ya kusini na kanda ya ziwa uchaguzi ukiisha wanaamia Pwani na kaskazini..hii nchi ngumu sana.
Mwaka huu kura zetu adi tuone wakandarasi wapo site tumechoka kudanganywa.Shida ni kamba uchaguzi ukiisha miradi Huwa inabakia kusia sua maana pressure imekwisha.
Mwaka huu kura zetu adi tuone wakandarasi wapo site tumechoka kudanganywa.
Hivi navyo ni sehemu ya vichekesho, kuamini mpaka nikiona wakandarasi wapo site na manamba wakipiga kazi.
Boya wewe ,umeambiwa mwisho wa mwezi mkataba utasainiwaHivi navyo ni sehemu ya vichekesho, kuamini mpaka nikiona wakandarasi wapo site na manamba wakipiga kazi.
Me boya ukisainiwa, ujenzi utaanza lini, ikiwemo manunuzi, na tunaambiwa kufika mwezi nov 2024 jengo litakuwa tayari, does it make sense? Na je watakamilisha lililopo au watajenga jipya? Mbona haya mambo ni kama TRAT na TRABBoya wewe ,umeambiwa mwisho wa mwezi mkataba utasainiwa
Wanajenga jengo jipya na probably Hilo kinaweza badilishwa dizaini.Me boya ukisainiwa, ujenzi utaanza lini, ikiwemo manunuzi, na tunaambiwa kufika mwezi nov 2024 jengo litakuwa tayari, does it make sense? Na je watakamilisha lililopo au watajenga jipya? Mbona haya mambo ni kama TRAT na TRAB
Kama jipya hapo sawa kabisa na ilo litumike kama godown au duka la kuuzia soda na big g tatizo muda wa kazi naona kama wanatufanyia usanii.Wanajenga jengo jipya na probably Hilo kinaweza badilishwa dizaini.