Wewe adui yako mkubwa ni Mwanza! Ladala ya kuhangaika na mji wako duni wa Mbeya unahangaika na mji wa Mwanza ambao tayari unafurure nzuri kuliko Mbeya! Hiyo dodoma inabebwa na ujenzi wa taasisi za kiserkali subiri ujenzi uishe ndo utajua kumbe maendeleo yanaletwa na uwekezaji wa wanachi!Mwanza Kaeni mkao wa kupitwa na Dodoma
View: https://www.instagram.com/p/C17Un9wKilX/?igsh=bmRjeHFxb3o1YXJi
Umesoma hiyo taarifa ya Madini au unajitoa ufahamu? ππWewe adui yako mkubwa ni Mwanza! Ladala ya kuhangaika na mji wako duni wa Mbeya unahangaika na mji wa Mwanza ambao tayari unafurure nzuri kuliko Mbeya! Hiyo dodoma inabebwa na ujenzi wa taasisi za kiserkali subiri ujenzi uishe ndo utajua kumbe maendeleo yanaletwa na uwekezaji wa wanachi!
Unaionaje madhari hiyo ya jiji la Mwanza? Huko Dodoma wana mandhari hiyo ? Mwanza inajibeba yenyewe haihitaji mbeleko ya serkali! Mda ukifika serkali ikaona kuna umuhumu wa kuwekeza Mwanza miradi hakuna tatizo ila Mwanza wataikuta inasonga mbele bila kusubiri hisani ya watu wa mamlaka!
Mbeya ya Dodoma endeleeni kusubiria serkali kuwajengea miji yenu!
View attachment 2868058
Mwanza imeizidi mbeya trillion 4 kwenye GDP unasema wanachuana kivipiUmesoma hiyo taarifa ya Madini au unajitoa ufahamu? ππ
Future ipi iliyonayo Mwanza kushinda Dodoma na Mbeya?
Kwa mfano Dodoma inatajwa kuongoza kuwa na aina nyingi za Madini hapa Tanzania as Kwa data za Sasa,na hapa unajifanya hujaona Ili kujifariji ππ
Dodoma Ina Ardhi kubwa kushinda Mwanza na wewe unajua kwamba Irrigation scheme kubwa ziko on pipeline Mwanza
Dodoma ndio hiyo ni Makao Makuu ya Nchi, Population Kwa Sasa karibu sawa na Mwanza.
Kiufupi Hali ni tete Kwa Mwanza.
Ukija Kwa Mbeya ,ni hivyo hivyo ukiacha idadi ya watu mengine yote Yako favorable Kwa Mbeya kushinda Mwanza,hujiulizi Mwanza yenye watu mil.4 inachuana na Mbeya yenye watu mil 2 Kwa GDP?
Ni Suala la mda tuu lazima Mbeya & Dom iwapite Mwanza
GDP gani unazungumzia? Yaani Mbeya imeshindwa miaka yote kuwa na GDP kubwa kuizidi Mwanza itawezaje saizi? Maana Mwanza ina Nyanzaga mine inakuja kuanza soon!Umesoma hiyo taarifa ya Madini au unajitoa ufahamu? ππ
Future ipi iliyonayo Mwanza kushinda Dodoma na Mbeya?
Kwa mfano Dodoma inatajwa kuongoza kuwa na aina nyingi za Madini hapa Tanzania as Kwa data za Sasa,na hapa unajifanya hujaona Ili kujifariji ππ
Dodoma Ina Ardhi kubwa kushinda Mwanza na wewe unajua kwamba Irrigation scheme kubwa ziko on pipeline Mwanza
Dodoma ndio hiyo ni Makao Makuu ya Nchi, Population Kwa Sasa karibu sawa na Mwanza.
Kiufupi Hali ni tete Kwa Mwanza.
Ukija Kwa Mbeya ,ni hivyo hivyo ukiacha idadi ya watu mengine yote Yako favorable Kwa Mbeya kushinda Mwanza,hujiulizi Mwanza yenye watu mil.4 inachuana na Mbeya yenye watu mil 2 Kwa GDP?
Ni Suala la mda tuu lazima Mbeya & Dom iwapite Mwanza
Malalamiko peleka dawati la Jinsia liko wazi ππGDP gani unazungumzia? Yaani Mbeya imeshindwa miaka yote kuwa na GDP kubwa kuizidi Mwanza itawezaje saizi? Maana Mwanza ina Nyanzaga mine inakuja kuanza soon!
Iwe kibiashara Mwanza iko juu ya Mbeya au wewe unatishiwa na malori yanayopita mjini hapo yanakuzuzua? Hakuna future yeyote kwa Mbeya zaidi ya kutiana moyo tu!
Upanuzi wa barabara ya Mbeya Tunduma ukifanikiwa kuisha na wala sio leo maana unajua kabisa utawala ya Samia goigoi hata project zingine haziendi kasi na hiyo ndo tumaini lenu lakini kwa maeneo mengine zero bora hata ya Dodoma!
Trilioni 4 ya mdomoni mwako au? ππMwanza imeizidi mbeya trillion 4 kwenye GDP unasema wanachuana kivipi
Mwaka 2022 Mwanza ilikuwa na GDP ya trilion 13 wakati mbeya ilikuwa na trillion 9 calculate the gapTrilioni 4 ya mdomoni mwako au? ππ
Sasaa hapa Kuna uzuri ganUnakutana na mtu anataka kulinganisha Dom na Mwanza
View: https://youtu.be/lkGjypsIM9g?si=EP_0THY0F0geScwj
Dom inaenda kuwa mojawapo ya Mikoa heavy weight ya Uchumi Tanzania Kwa miaka ijayo.AngloGold wanaomiliki mgodi wa GGM wameamua kuweka ofisi hao kuu ya Kiutafiti na Utawala Dodoma.
On top of that wameanzisha utafiti mkubwa wa Dhahabu Singida,Dodoma na Shinyanga.
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1746508488728018963?t=s9rJZJvRiJeLA5qXUh_n8g&s=19
My Take
Utawasikia wale haters wa Dodoma kwamba Dom Haina future ππ
Njoo tukule kisamvu basi maana unajilainisha Kiboya boyaNaona wauza Sangara wameshanyenyua mikono Kwa Dom
View: https://youtu.be/zDJUDPrcvBc?si=sM6bwHz5ocCck4-s
πππ¨ Kamwe wavuvi hawawezi kushindana na Capital CityNj
Njoo tukule kisamvu basi maana unajilainisha Kiboya boya