Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Tofautisha kati ya 5star experience na five star status .... una experience five star kwenye hotel ya nyota 3 πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ungekua umewahi hata kukanyaga maramoja kwenye hiyo hoteli ndio ungekuja kutupa ushuhuda πŸ˜€πŸ˜€
 
full uswazi ....poor planning vijumba vimejengwa ovyoovyo mlimani huku hata ikitokea ajali ya moto gari la zimamoto haliwezi kufikaπŸ˜€πŸ˜€ tofauti na Dom kila mitaa imepangiliwa na inafikika kwa urahisi hata yakitokea majanga ya moto n.k

Unataka picha za kutisha kama hii
 
Ungekua umewahi hata kukanyaga maramoja kwenye hiyo hoteli ndio ungekuja kutupa ushuhuda πŸ˜€πŸ˜€
Hamna hotel chafu na mbaya kama hyo hotel iliyojengwa na TAMISEMI ..hamna parking,hamna garden ,hamna comfortability ..unadhani hotel kuwa na hadhi ya nyota 5 ni makalio Kila mtu anauwezo wa kuwa nayo ......hyo hotel ni nyota 3 mkurugenzi wa dodoma alishasema acha uongo utaumbuka
 
hoteli inaitwa Best Western City Hotel alafu unasema ni ya TAMISEMI utoporoo mtupu kweli wewe.Jengo ndio kitega uchumi kinachomilikiwa na halmashauri ya Jiji .Nikuulize hoteli ya Gold Crest hapo Mwanza ipo kwenye jengo gani...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kusoma hujui hata picha huoni
Endelea kujidanganya na nyota Tano manyoya [emoji2][emoji2][emoji2]
Kwamba huu uchafu hapa chini unaweza uweka ligi Moja na Gran melia ,Serena , Hyatt regency,johari rotana au four seasons
Small parking space ,,no garden,.no comfortability,

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
hoteli inaitwa Best Western City Hotel alafu unasema ni ya TAMISEMI utoporoo mtupu kweli wewe.Jengo ndio kitega uchumi kinachomilikiwa na halmashauri ya Jiji .Nikuulize hoteli ya Gold Crest hapo Mwanza ipo kwenye jengo gani...[emoji3][emoji3][emoji3]
Achana na gold crest...tupo kwenye huu uchafu wako uliobatiza heshima ya nyota Tano...
Hotel hii kabla ya kujengwa aliyekuwa mkurugenzi wa dodoma alisema wanajenga hotel ya nyota 3 na kabla ya best western kuchukua Hilo jengo ilikuwa inaitwa dodoma city hotel chini ya jiji ....



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
na kabla ya best western kuchukua Hilo jengo ilikuwa inaitwa dodoma city hotel chini ya jiji
Hujui chochote wewe MEMKWA tangulini halmashauri ya jiji ikafanya biashara ya hoteli πŸ˜€πŸ˜€.Jengo ndio kitega uchumi cha Halmashauri ya Jiji na Best Western City Hotel ndio wawekezaji. Ni kama ilivyo apo Mwanza Gold Crest ni wapangaji ndani ya PPF Tower.
Nikuulize swali Peacock Hotel ndani ya Millenium Tower pale Makumbusho ni hoteli nyota ngapi....πŸ˜€πŸ˜€.Vp pale pana parking kubwa,vp pana garden ...πŸ˜€πŸ˜€
 
Aliyekudanganya kwamba kupima vigezo vya hoteli ya nyota tano ni kuangalia ukubwa wa parking na garden nani...πŸ˜€πŸ˜€.Kama vigezo ni hivyo basi hoteli karibia zote apa Posta zitakua hazina hadhi ya nyota tano ....kuanzia Holiday Inn,New Afrika Hotel,Johari Rotana n.k
 
Wivu 😁😁😁,ya Mwanza kama hiyo Iko wapi?
 
Achana na porojo za huko Mwanza,leta mitaa mizuri kama hii ya Dom kutoka huko Mwanza is slum πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/QbnSexT-S5M?si=9UVYst8GuBbt9ow5
 
Unalazimisha kuwa na nyota 5... unadhani ni makalio ..dar penyewe hazifiki 5 hizo hotel . itakuwa hiki kitongoji chenu
 
Unalazimisha kuwa na nyota 5... unadhani ni makalio ..dar penyewe hazifiki 5 hizo hotel . itakuwa hiki kitongoji chenu
Hujajibu swali...umesema ili hoteli iwe na hadhi ya nyota tano inatakiwa iwe na parking kubwa,garden kubwa na comfortability sio πŸ˜€πŸ˜€sasa niambie hizi hoteli za ghorofa apa Posta kwamfano Holiday Inn,Johari Rotana,Golden Tulip,New Afrika n.k parking kubwa na garden kubwa ipo wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha kujidanganya.. dodoma hamna hotel hata ya level ya 4 star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…