Hizi picha za bonasera mwanza mwanzaSoma hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi picha za bonasera mwanza mwanzaSoma hiyo
Mwamba haelewiTofautisha kati ya 5star experience na five star status .... una experience five star kwenye hotel ya nyota 3 😃😃
full uswazi ....poor planning vijumba vimejengwa ovyoovyo mlimani huku hata ikitokea ajali ya moto gari la zimamoto haliwezi kufika😀😀 tofauti na Dom kila mitaa imepangiliwa na inafikika kwa urahisi hata yakitokea majanga ya moto n.kWhat a view [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]...
mkolani outskirts View attachment 2981050View attachment 2981052
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ungekua umewahi hata kukanyaga maramoja kwenye hiyo hoteli ndio ungekuja kutupa ushuhuda 😀😀Tofautisha kati ya 5star experience na five star status .... una experience five star kwenye hotel ya nyota 3 😃😃
full uswazi ....poor planning vijumba vimejengwa ovyoovyo mlimani huku hata ikitokea ajali ya moto gari la zimamoto haliwezi kufika😀😀 tofauti na Dom kila mitaa imepangiliwa na inafikika kwa urahisi hata yakitokea majanga ya moto n.k
Kukanyaga ndo kunaipa nyota Tano acha mbwembwe mkuuUngekua umewahi hata kukanyaga maramoja kwenye hiyo hoteli ndio ungekuja kutupa ushuhuda 😀😀
Hamna hotel chafu na mbaya kama hyo hotel iliyojengwa na TAMISEMI ..hamna parking,hamna garden ,hamna comfortability ..unadhani hotel kuwa na hadhi ya nyota 5 ni makalio Kila mtu anauwezo wa kuwa nayo ......hyo hotel ni nyota 3 mkurugenzi wa dodoma alishasema acha uongo utaumbukaUngekua umewahi hata kukanyaga maramoja kwenye hiyo hoteli ndio ungekuja kutupa ushuhuda 😀😀
Kusoma hujui hata picha huoniKukanyaga ndo kunaipa nyota Tano acha mbwembwe mkuu
hoteli inaitwa Best Western City Hotel alafu unasema ni ya TAMISEMI utoporoo mtupu kweli wewe.Jengo ndio kitega uchumi kinachomilikiwa na halmashauri ya Jiji .Nikuulize hoteli ya Gold Crest hapo Mwanza ipo kwenye jengo gani...😀😀😀Hamna hotel chafu na mbaya kama hyo hotel iliyojengwa na TAMISEMI ..hamna parking,hamna garden ,hamna comfortability ..unadhani hotel kuwa na hadhi ya nyota 5 ni makalio Kila mtu anauwezo wa kuwa nayo ......hyo hotel ni nyota 3 mkurugenzi wa dodoma alishasema acha uongo utaumbuka
Endelea kujidanganya na nyota Tano manyoya [emoji2][emoji2][emoji2]Kusoma hujui hata picha huoni
Achana na gold crest...tupo kwenye huu uchafu wako uliobatiza heshima ya nyota Tano...hoteli inaitwa Best Western City Hotel alafu unasema ni ya TAMISEMI utoporoo mtupu kweli wewe.Jengo ndio kitega uchumi kinachomilikiwa na halmashauri ya Jiji .Nikuulize hoteli ya Gold Crest hapo Mwanza ipo kwenye jengo gani...[emoji3][emoji3][emoji3]
Hujui chochote wewe MEMKWA tangulini halmashauri ya jiji ikafanya biashara ya hoteli 😀😀.Jengo ndio kitega uchumi cha Halmashauri ya Jiji na Best Western City Hotel ndio wawekezaji. Ni kama ilivyo apo Mwanza Gold Crest ni wapangaji ndani ya PPF Tower.na kabla ya best western kuchukua Hilo jengo ilikuwa inaitwa dodoma city hotel chini ya jiji
Aliyekudanganya kwamba kupima vigezo vya hoteli ya nyota tano ni kuangalia ukubwa wa parking na garden nani...😀😀.Kama vigezo ni hivyo basi hoteli karibia zote apa Posta zitakua hazina hadhi ya nyota tano ....kuanzia Holiday Inn,New Afrika Hotel,Johari Rotana n.kEndelea kujidanganya na nyota Tano manyoya [emoji2][emoji2][emoji2]
Kwamba huu uchafu hapa chini unaweza uweka ligi Moja na Gran melia ,Serena , Hyatt regency,johari rotana au four seasons
Small parking space ,,no garden,.no comfortability,View attachment 2981083
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wivu 😁😁😁,ya Mwanza kama hiyo Iko wapi?Endelea kujidanganya na nyota Tano manyoya [emoji2][emoji2][emoji2]
Kwamba huu uchafu hapa chini unaweza uweka ligi Moja na Gran melia ,Serena , Hyatt regency,johari rotana au four seasons
Small parking space ,,no garden,.no comfortability,View attachment 2981083
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Achana na porojo za huko Mwanza,leta mitaa mizuri kama hii ya Dom kutoka huko Mwanza is slum 👇👇Achana na gold crest...tupo kwenye huu uchafu wako uliobatiza heshima ya nyota Tano...
Hotel hii kabla ya kujengwa aliyekuwa mkurugenzi wa dodoma alisema wanajenga hotel ya nyota 3 na kabla ya best western kuchukua Hilo jengo ilikuwa inaitwa dodoma city hotel chini ya jiji ....
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unalazimisha kuwa na nyota 5... unadhani ni makalio ..dar penyewe hazifiki 5 hizo hotel . itakuwa hiki kitongoji chenuAliyekudanganya kwamba kupima vigezo vya hoteli ya nyota tano ni kuangalia ukubwa wa parking na garden nani...😀😀.Kama vigezo ni hivyo basi hoteli karibia zote apa Posta zitakua hazina hadhi ya nyota tano ....kuanzia Holiday Inn,New Afrika Hotel,Johari Rotana n.k
Hujajibu swali...umesema ili hoteli iwe na hadhi ya nyota tano inatakiwa iwe na parking kubwa,garden kubwa na comfortability sio 😀😀sasa niambie hizi hoteli za ghorofa apa Posta kwamfano Holiday Inn,Johari Rotana,Golden Tulip,New Afrika n.k parking kubwa na garden kubwa ipo wapi😂😂😂😂Unalazimisha kuwa na nyota 5... unadhani ni makalio ..dar penyewe hazifiki 5 hizo hotel . itakuwa hiki kitongoji chenu
Mwanza leteni picha za mitaa kama hii kutoka Dodoma👇
View: https://youtu.be/VPUBDg6vCxU?si=XwXWVqfKIm-UcNay
Mwanza leteni picha za mitaa kama hii kutoka Dodoma👇
View: https://youtu.be/VPUBDg6vCxU?si=XwXWVqfKIm-UcNay
Acha kujidanganya.. dodoma hamna hotel hata ya level ya 4 starHujajibu swali...umesema ili hoteli iwe na hadhi ya nyota tano inatakiwa iwe na parking kubwa,garden kubwa na comfortability sio 😀😀sasa niambie hizi hoteli za ghorofa apa Posta kwamfano Holiday Inn,Johari Rotana,Golden Tulip,New Afrika n.k parking kubwa na garden kubwa ipo wapi😂😂😂😂