Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ukiweza kujibu hili swali bila kuhamisha magoli ..nalog off JF πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiweza kujibu hili swali bila kuhamisha magoli ..nalog off JF [emoji3][emoji3][emoji3]
Swali Gani ...Hilo la kijinga Sina muda wa kujibu ....
Unless you bring enough evidence ya kuwa hilo chaka ni hotel ya 5star ..

Hizo hotel za posta Zina underground parking na zingine Zina elevated parking za ghorofani...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
New ilemela porshy neighborhood
Dodoma huwezi pata watu wanajenga mansion na apartment za kifahari .ila wakija hapa wanasema DODOMA Inakua na kupendeza Kwa kasi .. kupendeza manyoya au [emoji2][emoji2][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huko Dom ilishavuka kitambo πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C3aT87WNUKH/?igsh=MXdkeWxxMWNkaTZveA==
View: https://www.instagram.com/p/CzG-7tyNb54/?igsh=bjZwbWFvYW4yYjQ=
 
πŸ˜€πŸ˜€Huna uwezo wa kujibu bora umekiri IQ yako ni ndogo na inawezekana hujawahi kufika Posta...eti elevated parking za ghorofaniπŸ˜€πŸ˜€ hoteli kwamfano ya Golden Tulip-City Centre maghorofa pale yamebanana hiyo elevated parking itoke wapi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa hyo golden tulip na Holliday inn five star.. jitahidi kuficha ujinga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…