Ukiweza kujibu hili swali bila kuhamisha magoli ..nalog off JF ๐๐๐Hujajibu swali...umesema ili hoteli iwe na hadhi ya nyota tano inatakiwa iwe na parking kubwa,garden kubwa na comfortability sio ๐๐sasa niambie hizi hoteli za ghorofa apa Posta kwamfano Holiday Inn,Johari Rotana,Golden Tulip,New Afrika n.k parking kubwa na garden kubwa ipo wapi๐๐๐๐