ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hujawahi kukanyaga hoteli yoyote apa Posta najua utabisha sana.Nakusaidia ๐๐juzi nilikuepo Golden Tulip City Centre ulizia bei ya kulala standard roomKwa hyo golden tulip na Holliday inn five star.. jitahidi kuficha ujinga wako
Jifunze kupost picha ... naona mawingu ....Cha kukushauri kajifunze hotel ndio uje kubishana na MimiHujawahi kukanyaga hoteli yoyote apa Posta najua utabisha sana.Nakusaidia ๐๐juzi nilikuepo Golden Tulip City Centre ulizia bei ya kulala standard room
Wew ukiona jengo refu tu unasema nyota Tano...manyoya auHujawahi kukanyaga hoteli yoyote apa Posta najua utabisha sana.Nakusaidia ๐๐juzi nilikuepo Golden Tulip City Centre ulizia bei ya kulala standard room
Re meridian inachukua Hadi watu 2000Kwa hiyo hamna kumbi kubwa ๐๐
Weka orodha vizuri Kila mtu ajiridhisheRe meridian inachukua Hadi watu 2000
Malaika wana separate conference ya watu mpaka 3000
Kwa tunza wana ukumbi Mpya zaidi ya watu 1000 na mwaka Jana ukihost annual conference ya tahossa na mchengerwa alikuwa mgeni rasmi
Nishakuambia mwanza Kuna kumbi za kutoshaWeka orodha vizuri Kila mtu ajiridhishe
Mbona mumeiga ramani ya Mbeya? ๐๐Not NHC ,or TBA this is private owned property ..new Capri one apartment
View attachment 2981335View attachment 2981336
Nyakahoja ๐๐๐๐ ,hii itakuwa kumbi ya harusiNishakuambia mwanza Kuna kumbi za kutosha
1 re meridian park
2.malaika
3 .Kwa tunza
4 .nyakahoja hall
5.rock city mall
Kumbi zote hizi Zina uwezo wa kuhost wageni zaidi ya 1000
Mbona unaruka ruka hueleweki jitahidi kujibu hoja kwa hoja with clear evidences kama ninavyofanya mimi ...mwanzo umesema hoteli ya Best Western Dodoma City Hotel haijakidhi vigezo vya nyota tano kwasababu haina parking kubwa wala garden kubwa sasa swali lipo palepale hoteli zote zilizopo Posta (ukitoa Hyatt Regency na Serena) zote ni maghorofa marefu hakuna garden kubwa wala parking kubwa vp tuziweke kundi gani.....๐๐๐Wew ukiona jengo refu tu unasema nyota Tano...manyoya au
Wew nani kasema vigezo vya nyota Tano ni parking...nimekwambia hiyo uchafu yako sio nyota Tano..Kwa sababu wamiliki wa Hilo jengo na wenye hotel wao wenyewe Kwa kauli zao wamesema ni nyota tatu .... ...ishu ya uhaba wa parking na mwonekano mbovu wa nje hizo ni sifa za ziada zinazoinyima hadhi hii hotelMbona unaruka ruka hueleweki jitahidi kujibu hoja kwa hoja with clear evidences kama ninavyofanya mimi ...mwanzo umesema hoteli ya Best Western Dodoma City Hotel haijakidhi vigezo vya nyota tano kwasababu haina parking kubwa wala garden kubwa sasa swali lipo palepale hoteli zote zilizopo Posta (ukitoa Hyatt Regency na Serena) zote ni maghorofa marefu hakuna garden kubwa wala parking kubwa vp tuziweke kundi gani.....๐๐๐
๐Wenye hoteli ndio hawa hapa๐๐Wew nani kasema vigezo vya nyota Tano ni parking...nimekwambia hiyo uchafu yako sio nyota Tano..Kwa sababu wamiliki wa Hilo jengo na wenye hotel wao wenyewe Kwa kauli zao wamesema ni nyota tatu .... ...ishu ya uhaba wa parking na mwonekano mbovu wa nje hizo ni sifa za ziada zinazoinyima hadhi hii hotel
๐๐subiri Mikdde atakuja kubisha kuwa hadhi ya nyota tanoMambo yanazidi kunoga ndani ya Dom the Capital City ๐
View: https://www.instagram.com/reel/C6gj9ZvoKXN/?igsh=MTNybm8xdnB5aWo1cw==
My Take: Mwanza nzima hakuna 5 Star Restaurant.
๐๐Unaongelea private owned residential apartments kuna anayeweza kulinganisha na mwekezaji binafsi wa iyumbu๐...waturuki wote wanaojenga SGR wapo hukoWatakuja na vijumba vifupi vya NHC ๐๐๐..this is mwanza residential estate private owned
View attachment 2981367View attachment 2981368
Hili ndo jengo lako la kujivunia wakati Mwanza ni Apartment za mtu binafsi!Mbona mumeiga ramani ya Mbeya? ๐๐View attachment 2981341
Majengo ya Hospital za Serikali za Mwanza ni aibu tupuHili ndo jengo lako la kujivunia wakati Mwanza ni Apartment za mtu binafsi!
Vipi hiyo hospital ya Mkoa wa Mwanza kuna aibu gani hapo?Majengo ya Hospital za Serikali za Mwanza ni aibu tupu