Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwa hyo golden tulip na Holliday inn five star.. jitahidi kuficha ujinga wako
Hujawahi kukanyaga hoteli yoyote apa Posta najua utabisha sana.Nakusaidia 👇👇juzi nilikuepo Golden Tulip City Centre ulizia bei ya kulala standard room
 
Attachments

  • 20220829_141247.jpg
    20220829_141247.jpg
    557.3 KB · Views: 2
  • 20220902_141227.jpg
    20220902_141227.jpg
    2.1 MB · Views: 3
  • 20220829_141049.jpg
    20220829_141049.jpg
    784.2 KB · Views: 2
Hujawahi kukanyaga hoteli yoyote apa Posta najua utabisha sana.Nakusaidia 👇👇juzi nilikuepo Golden Tulip City Centre ulizia bei ya kulala standard room
Jifunze kupost picha ... naona mawingu ....Cha kukushauri kajifunze hotel ndio uje kubishana na Mimi
 
Re meridian inachukua Hadi watu 2000
Malaika wana separate conference ya watu mpaka 3000
Kwa tunza wana ukumbi Mpya zaidi ya watu 1000 na mwaka Jana ukihost annual conference ya tahossa na mchengerwa alikuwa mgeni rasmi
Weka orodha vizuri Kila mtu ajiridhishe
 
Not NHC ,or TBA this is private owned property ..new Capri one apartment
banner1-new.jpg
banner2-new.jpg
 
Weka orodha vizuri Kila mtu ajiridhishe
Nishakuambia mwanza Kuna kumbi za kutosha
1 re meridian park
2.malaika
3 .Kwa tunza
4 .nyakahoja hall
5.rock city mall
Kumbi zote hizi Zina uwezo wa kuhost wageni zaidi ya 1000
 
Nishakuambia mwanza Kuna kumbi za kutosha
1 re meridian park
2.malaika
3 .Kwa tunza
4 .nyakahoja hall
5.rock city mall
Kumbi zote hizi Zina uwezo wa kuhost wageni zaidi ya 1000
Nyakahoja 😂😂😂😂 ,hii itakuwa kumbi ya harusi
 
Wew ukiona jengo refu tu unasema nyota Tano...manyoya au
Mbona unaruka ruka hueleweki jitahidi kujibu hoja kwa hoja with clear evidences kama ninavyofanya mimi ...mwanzo umesema hoteli ya Best Western Dodoma City Hotel haijakidhi vigezo vya nyota tano kwasababu haina parking kubwa wala garden kubwa sasa swali lipo palepale hoteli zote zilizopo Posta (ukitoa Hyatt Regency na Serena) zote ni maghorofa marefu hakuna garden kubwa wala parking kubwa vp tuziweke kundi gani.....😀😀😀
 
Wew nani kasema vigezo vya nyota Tano ni parking...nimekwambia hiyo uchafu yako sio nyota Tano..Kwa sababu wamiliki wa Hilo jengo na wenye hotel wao wenyewe Kwa kauli zao wamesema ni nyota tatu .... ...ishu ya uhaba wa parking na mwonekano mbovu wa nje hizo ni sifa za ziada zinazoinyima hadhi hii hotel
 
😀Wenye hoteli ndio hawa hapa👇👇
 
Attachments

  • 20230721_120751.jpg
    20230721_120751.jpg
    621.8 KB · Views: 3
  • 20230721_120950.jpg
    20230721_120950.jpg
    878.8 KB · Views: 3
Watakuja na vijumba vifupi vya NHC 😃😃😃..this is mwanza residential estate private owned
IMG_20230806_155503_127.jpg
IMG_20230806_155327_452.jpg
 
Watakuja na vijumba vifupi vya NHC 😃😃😃..this is mwanza residential estate private owned
View attachment 2981367View attachment 2981368
😀😀Unaongelea private owned residential apartments kuna anayeweza kulinganisha na mwekezaji binafsi wa iyumbu👇...waturuki wote wanaojenga SGR wapo huko
 
Attachments

  • 20240313_134250.jpg
    20240313_134250.jpg
    1 MB · Views: 3
Back
Top Bottom