Ulikubaliana na nani ...aliyekuambia NSSSF ni serikali nani ...au hujui maana ya social protection parastatal ... nsssf ni pesa za wafanyakazi wa sekta binafsiSi tulikubaliana kwamba Mwanza inajengwa na private sector pekee serikali haihusiki...vp tena mwenzetu😀😀😀
huko shule ulienda kusomea ujinga eti kwahiyo "National" Social Security Fund sio shirika la umma bali ni shirika binafsi😂😂😂. Kama ni mashirika binafsi inakuaje tena interviews za kazi wanafanyia Utumishi😂😂aliyekuambia NSSSF ni serikali nani ...au hujui maana ya social
😂😂Kumbe NHC Dom ndio imejenga hizi neighborhoods👇👇View attachment 2986378View attachment 2986380
Wakitoka hapo wanasema mwanza ni slum ...ila ukiwaomba walete neighborhood zao wanapost nyumba za NHC 😃😃😃....BWIRU 👆👆👆👆
Pesa za uwekezaji za NSSSF ni za wafanyakazi na raia wa sekta binafsi... NSSF ni shirika linalojitegemea kulinda hifadhi ya jamii ..ni kama ilivyo PSSSF kazi ya serikali humo ni kuratibu na kuregurate tu .... mashirika ya serikali ni kama TBA ,NHC ,TANESKO ambayo pesa za uwekezaji wake zinatoka serikali kuu ...ni Lini ulisikia serikali imetoa msaada kibajeti Kwa nsssfhuko shule ulienda kusomea ujinga eti kwahiyo "National" Social Security Fund sio shirika la umma bali ni shirika binafsi😂😂😂. Kama ni mashirika binafsi inakuaje tena interviews za kazi wanafanyia Utumishi😂😂
Picha za hvi vijiji ziko wapi😂😂Kumbe NHC Dom ndio imejenga hizi neighborhoods👇👇
-Ilazo
-oysterbay
-kisasa
-area A
-area D
-area E
-mlimwa west
-medeli west
-magereza
-nyumba 300
-kisasa extension
-njedengwa extension
-Iringa road
-kilimani
-meriwa
-tambukareli
N.k
Is NSSF a public entity or private entity? naomba jibu moja A au B ....😂😂Pesa za uwekezaji za NSSSF ni za wafanyakazi na raia wa sekta binafsi... NSSF ni shirika linalojitegemea kulinda hifadhi ya jamii ..ni kama ilivyo PSSSF kazi ya serikali humo ni kuratibu na kuregurate tu .... mashirika ya serikali ni kama TBA ,NHC ,TANESKO ambayo pesa za uwekezaji wake zinatoka serikali kuu ...ni Lini ulisikia serikali imetoa msaada kibajeti Kwa nsssf
😂😂😂Hii sio thread ya studio ya kushindanisha picha tunashindanisha uhalisia..humu ni JF home of great thinkers wenye hoja kama zangu zilizoenda shule na facts tupuPicha za hvi vijiji ziko wapi
Ukitumwa wenye hoja na facts utaenda wewe ....... unaongea bila vielelezo Wala figure facts zako ziko wapi😂😂😂Hii sio thread ya studio ya kushindanisha picha tunashindanisha uhalisia..humu ni JF home of great thinkers wenye hoja kama zangu zilizoenda shule na facts tupu
Uhalisia una uprove kwa namna ipi mbona unakimbia kimbia. Unataka tuamini swaga zako?. Au basi tushindanishe maneno kwa maneno😂😂😂Hii sio thread ya studio ya kushindanisha picha tunashindanisha uhalisia..humu ni JF home of great thinkers wenye hoja kama zangu zilizoenda shule na facts tupu
hoja na facts based on clear evidenceUhalisia una uprove kwa namna ipi mbona unakimbia kimbia. Unataka tuamini swaga zako?. Au basi tushindanishe maneno kwa maneno
Nyumba 300 ni mradi wa TBA (serikali)😂😂Kumbe NHC Dom ndio imejenga hizi neighborhoods👇👇
-Ilazo
-oysterbay
-kisasa
-area A
-area D
-area E
-mlimwa west
-medeli west
-magereza
-nyumba 300
-kisasa extension
-njedengwa extension
-Iringa road
-kilimani
-meriwa
-tambukareli
N.k
Ukimwambia alete aerial photography za hiyo mitaa anaanza habari maelezoNyumba 300 ni mradi wa TBA (serikali)
Yes ....nilikua namjibu Mikdde aliyesema NHC ndio wanajenga neighborhoods Dodoma😀😀Nyumba 300 ni mradi wa TBA (serikali)
Kawatafute "photo-journalists" wenzako ndio utapata hizo aerial pics. Mimi nakupa ground facts tupu ukibisha uje na hoja zinazoeleweka....unajificha kwenye kichaka cha picha😀😀 zamani ulikua unataka drone video😂😂Ukimwambia alete aerial photography za hiyo mitaa anaanza habari maelezo
Usitufanye sisi hatujakaa kwenye hicho kijiji chako .....mitaa yote uliyoitaja yenye uafadhali ni ilazo ,area C ,na uzunguni .. kwingine kote ni takataka ....ni vijumba vyenye mapaa ya rangi na mitaa mikavu isiyoelewekaKawatafute "photo-journalists" wenzako ndio utapata hizo aerial pics. Mimi nakupa ground facts tupu ukibisha uje na hoja zinazoeleweka....unajificha kwenye kichaka cha picha😀😀 zamani ulikua unataka drone video😂😂
Kawatafute "photo-journalists" wenzako ndio utapata hizo aerial pics. Mimi nakupa ground facts tupu ukibisha uje na hoja zinazoeleweka....unajificha kwenye kichaka cha picha😀😀 zamani ulikua unataka drone video😂😂
Ukubwa kivip. Hiyo Dom eneo Lake 2000km² na zaid wamechukua hadi mashamba hukooo ya kilimo Mwanza 400km² na Viwanda vingi vinahamishiwa nje ya Jiji. Ukipigwa kubali sio kuhamisha magoli. Kwanza kwa hilo eneo la 2000km² mlipaswa kulingana na Dar kwa mapatoThis is failure, Mwanza na ukubwa wote huo mapato ya hivyo tu🤔🤔🤔
Hiyo Re meridian ni nini kama sio ukumbi😂😂😂Kwa hiyo hamna kumbi kubwa 😁😁