Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Lakini sio Mali ya Mkoa wa Mwanza.

Kwa Sasa Serikali Iko mbioni kuanza kujenga Sgr ya Tanga-Arusha-Musoma ,sijui Mwanza mtasalia na nini maana biashara zitahamia Musoma.
Duh hii miundombinu inaenda kupunguza speed ya ukuwaji wa baadhi ya majiji nchini
 
Hiyo Re meridian ni nini kama sio ukumbiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umefufuka? 😁😁😁😁😁

Toka Njombe imepiga za utosini Kahama mlishapoteana.Saizi Kuna Uzi wa Njombe vs Geita
 
Dodoma ni poor ...mkinileteA apartments zinazopangishwa Kwa zaidi ya milioni 1 Kwa mwezi nitaamini dodoma inaizidi mwanzaView attachment 2987289
Unachekesha sana aisee unataka kulinganisha Mwanza na Dom kwenye suala la apartments mbona ni mbingu na ardhi.Umewahi kujiuliza Mabalozi na Diplomats wote waliopo Dodoma wanaishi kwenye apartments zenye level ganiπŸ˜‚πŸ˜‚.Hapo bado sijakutajia waturuki wanaojenga SGR.
Hakuna mji wowote apa Tanzania unaoisogelea Dom kwa demand ya Apartments especially baada ya serikali kuanza kuhamia rasmi tangu 2016.πŸ‘‡πŸ‘‡

https://www.facebook.com/
View: https://m.facebook.com/watch/?v=872046349841773&vanity=EstateLinkTanzania
 
Nini Sasa,huko si Kwa vile camera haijweza ku zoom,unataka ujifariji kwamba Dom Ina uswazi kama Mwanza si ndio? 😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚Dom mitaa ambayo unaweza kuona uswazi typical haizidi minne Mkalama Makulu,Chaduru na baadhi ya maeneo ya Changombe basi na licha ya uswazi bado viwanja vyote vimepimwa, vinamilikiwa kwa Hati(legally),mapaa ya nyumba yote yana rangi moja (according to mtaa) na barabara zinafikika huko hata kama yakitokea majanga ya moto sasa ukifika Mwanza kuanzia nyuma ya Nyegezi tu hadi Milimani Nyamagana yote ni full uswazi ,vijumba vimejengwa ovyoovyo yaani pathetic kabisa sijui idara ya mipangomiji inafanya nini pale(kumbuka Mwanza imepewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)
 
Acha assumption...leta price... apartment yenye gharama ya milioni 1 plus..kama kweli mnajiweza .... MWANZA hatuna porojo Huwa tunapiga kwenye mshono
 
Vya dodoma vimeisha .. umeanza kukopa mbeya ...unganeni majiji yote ili mpambane na the mighty MWANZA
Dodoma ni tawi la Nyanda za Juu Kusini,wanaoendesha uchumi hapo Dom ni wakazi wa Njombe,Iringa na Mbeya
 
Vya dodoma vimeisha .. umeanza kukopa mbeya ...unganeni majiji yote ili mpambane na the mighty MWANZA
Dodoma ni tawi la Nyanda za Juu Kusini,wanaoendesha uchumi hapo Dom ni wakazi wa Njombe na Mbeya
Mwaka lazima useme ..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ eti tawi la nyanda za juuu....
Kumbe hutaki au? 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…