Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kelele za Dodoma kila siku ni huko huko mtumba, tofauti na hapo ni hovyo,
 
Tukimaliza apartments tuhamie kwenye hotels, then beaches and camping sites, tuone kama Dodoma atafata moto wa mwanza
Narudia tena Mwanza inachozidi Dom ni population tu(wasukuma hawanaga uzazi wa mpango wanazaliana sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚).Hotels,Apartments,Conference Centers,recreational centers Mwanza haifiki hata nusu ya Dom ya sasa(na bado Dom inaendelea kupaa kwa kasi ya kimbunga).
 
Kelele za Dodoma kila siku ni huko huko mtumba, tofauti na hapo ni hovyo,
πŸ˜‚πŸ˜‚hicho unachokiona Mtumba ni robo tu.Ungekua umewahi kufika Tambukareli ungeona maghorofa kama ya Dubai vileπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…