Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wenzio tunaongea Kwa ushahidi wewe unasema uchizi hapq
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ..amkeni amkeni ...Kuna porojo zingine huku....kama hotel nyota Tano ni vile vijumba vya pale mipango miyuji jirani na maisha plus ..bas Ryan bay au tilapia ni nyota 10
Onyesha vijumba vya Mwanza acha upuuzi
 
Ziko wapi? Mzee wa facts unabwabwaja bila ushahidi?. Eti apartments mara hotel mbona mnaota mchana
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ..amkeni amkeni ...Kuna porojo zingine huku....kama hotel nyota Tano ni vile vijumba vya pale mipango miyuji jirani na maisha plus ..bas Ryan bay au tilapia ni nyota 10
Hii ni hotel au apartments πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ *****. 5 star hotel kudadekiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ni hotel au apartments πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ *****. 5 star hotel kudadekiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watu wa dodoma ni washamba kuanzia raia mpaka media zao ...ukikiona hicho kieneo anachosema nyota Tano .. unaweza zimia Kwa kicheko ...
Nyota Tano wanadhani ni makalio
 
Ziko wapi? Mzee wa facts unabwabwaja bila ushahidi?. Eti apartments mara hotel mbona mnaota mchana
Hivi wewe jamaa umewahi kukanyaga hata maramoja Dom au tunabishana na mtu anayetegemea google na pichaπŸ˜‚πŸ˜‚.Unataka kuniambia hata huko ulipo hujawahi kuzisikia hoteli hizi maarufu DomπŸ‘‡πŸ‘‡
-St Gaspar
-Best Western City Hotel
-Morena
-Royal Village
-Esperanza
-Ambassadors
-Midlands
-African Dreams
-Golden Crown
-DS
-Dm
-Dodoma Grand
-Dodoma Hotel
- Rafiki Dodoma Hotel
-Verde View
-Nasheera
-Vizzano
 
Watu wa dodoma ni washamba kuanzia raia mpaka media zao ...ukikiona hicho kieneo anachosema nyota .. unaweza zimia Kwa kicheko ...
Nyota wanadhani ni makalio
Mwanza kuna media zipi zinazoizidi DodomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bado Hujasema kwa idadi hii tu mtatapika damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…