Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

hakuna biashara ya maana ya ku trigger uchumi wa Dodoma....ndiyo maana wafanyabiashara wakubwa wanawekeza roborobo....uchumi unaendeshwa na watumishi wa Umma unategemea nini? ambao weekend zote wanakimbilia Town
 
Yawezekana hujawahi kufika Dodoma labda πŸ˜€πŸ˜€...
-unajua ni kwa jinsi gani "service industry" ilivyo "hot" Dom kuanzia mahoteli,sehemu za starehe,migahawa,maduka,vyakula n.k
-Sio kweli kwamba watumishi wa umma kila weekend wanarudi mikoani kwao hizo ni stori za vijiweni kwa idadi ya watumishi wa umma waliohamia Dom nadhani yangehitajika mabasi yote Tanzania kwenda kuwabeba na kuwarudisha huku Dar kila weekend kama ingekua kweliπŸ˜€πŸ˜€
-Uchumi wa Dodoma unachagizwa na makundi mbalimbali sio watumishi wa umma pekee kwamfano sekta moja tu Elimu(vyuo vikuu na vyuo vya kati) kuna wanavyuo na staffs karibia lakimbili ambapo hii ni karibia robo ya wakaazi wote wa Jiji .
-Sekta nyingine ni kilimo kwamfano ikifika msimu wa zao la Zabibu utakuta Wakenya wamejazana Dom kununua na kusafirisha Zabibu kwenda Kenya. Infact Dodoma ndio "only" supplier wa Zabibu na Wine sio tu Kenya bali ukanda wote wa East and Central Africa.
 
Mahotel yapi Dodoma??
 
Viwanda vya nyama ya punda kama hapo Kwa wachina
 
hakuna biashara ya maana ya ku trigger uchumi wa Dodoma....ndiyo maana wafanyabiashara wakubwa wanawekeza roborobo....uchumi unaendeshwa na watumishi wa Umma unategemea nini? ambao weekend zote wanakimbilia Town
Huko Mwanza kwenye biashara za maana nileteeni Mitaa yenye Majumba makali kama Dom hapa πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe nawe kichwa Kina shida, majumba yako wapi wakati unamuona dalali anahangaika kulitafutia wateja Hilo eneo. Yaani video zako ni za madalali tu halafu unasema eti Kuna majumba.
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Ukisikia hii ujue imepenya.

Onyesha mitaa yenye Majumba makali kama hii ya Dodoma Wacha longolongo maana mumetujazia slums tuu πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/g6CjIuAv_2Y?feature=shared
 
🀣🀣🀣hawawezi na haitatokea wakaonesha picha ya mtaa mzima kwamfano huo uliopangiliwa wa Iyumbu....wanachoweza ni kupost Ziwa Victoria au nyumba moja moja za watu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 2992132
Tafuten nyumba za milioni 4 Kwa mwezi kwanza
Unaokoteza kajumba kamoja kamoja kutoka huko uswazi kwani badala uweke mtaa mzima tuone πŸ˜‚πŸ˜‚

Hizo za kuokoteza hata Kibondo zipo.

Hivi huko uswazi Mwanza Kuna hata real estates companies kweli?. Maana Huwa naona za Dar,Dom na Arusha tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…