Yawezekana hujawahi kufika Dodoma labda ๐๐...
-unajua ni kwa jinsi gani "service industry" ilivyo "hot" Dom kuanzia mahoteli,sehemu za starehe,migahawa,maduka,vyakula n.k
-Sio kweli kwamba watumishi wa umma kila weekend wanarudi mikoani kwao hizo ni stori za vijiweni kwa idadi ya watumishi wa umma waliohamia Dom nadhani yangehitajika mabasi yote Tanzania kwenda kuwabeba na kuwarudisha huku Dar kila weekend kama ingekua kweli๐๐
-Uchumi wa Dodoma unachagizwa na makundi mbalimbali sio watumishi wa umma pekee kwamfano sekta moja tu Elimu(vyuo vikuu na vyuo vya kati) kuna wanavyuo na staffs karibia lakimbili ambapo hii ni karibia robo ya wakaazi wote wa Jiji .
-Sekta nyingine ni kilimo kwamfano ikifika msimu wa zao la Zabibu utakuta Wakenya wamejazana Dom kununua na kusafirisha Zabibu kwenda Kenya. Infact Dodoma ndio "only" supplier wa Zabibu na Wine sio tu Kenya bali ukanda wote wa East and Central Africa.